Tutawahamisha sana,na haitasaidia, cha msingi hapa ni police kupewa zana za kutosha usione hapa mjini kuna magari mawili matatu huko mkoani hakuna kitu,huwezi kufukuzia wezi wakati huna vitendea kazi,pili mfumo wa jeshi letu ni wa kizamani hivyo mabadiliko yanahitajika kwenda na wakati