Kuhamisha pesa kutoka Skrill kwenda Visacard/Bank

Nrangoo

JF-Expert Member
May 22, 2017
3,352
5,250
Habari wakuu.


Naomba kufaham bank ambayo inakubali kupokea miamala kutoka Skrill.

Naomba kufahamu na rates au makato yao kwa muamala yapoje , pia na monthly charges.
 
Naomba kufaham bank ambayo inakubali kupokea miamala kutoka Skrill.
Benki zote zinakubari kupokea miamala.
1601034085395.png

#1. Skrill watakukata asilimia 7.5% iwapo utatuma fedha kwenye card yako, uliyotumia awali kufanya deposit.

Na watakukata dola chache, kulingana na kiasi cha fedha, unachotuma kwenda kwenye account yako.

#2. Na kila benki husika ina kiwango cha charges zake, kwa wewe kupokea fedha toka skrill.
Hutumika ya benki husika.
monthly charges.
Hakuna monthly charges katika huduma ya kuhamisha/ kupokea fedha.

Makato huwa ni pindi ufanyapo muamala husika.

Iwapo unaswali zaidi waweza kuuliza.
 
Back
Top Bottom