Kuhamisha data ''web base''

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,091
Reaction score
15,208
wakuu salaam kuna data zangu ambazo ni ''web base'',sasa jamaa tumezinguana nao ambao nilikuwa natumia web site yao.
Kwa sasa nina web yangu je? Naweza fanya usanii gani ili data zangu zote nizihamishie kwenye web yangu?
Natanguliza shukraan
 
Kuhusu usanii hebu jaribu kaole sanaaa group watakusaidia sana
 
haupo clear kabisa ...labda jaribu kaole kama mdau alivosema hapo...
 
The highest level of development, as of a device, technique, or scientific field, achieved at a particular time. state′-of-the-art′ adj. n 1.
Hukunielewa je?kwa kiswahili tusemeje?
 
Sawa, umeisha waambia wakupe data zako, nao waka kataa kukupa?
 
sawa, umeisha waambia wakupe data zako, nao waka kataa kukupa?
si kwamba wamekataaa ila njia ya kuzihamisha ni ipi?
.....toka asubuhi tunajaribu njia tofauti na rahisi.....
..kimsingi ni archive toka 2013.
Ngoja nipate fegi nje narudiii......
 
..kimsingi ni archive toka 2013.,,
Ngoja nipate fegi nje narudiii
......
Hapo umesema neno nikaelewa
 
Ni Njia gani ambazo mmejaribu kuhamisha hizo data?

si kwamba wamekataaa ila njia ya kuzihamisha ni ipi?
.....toka asubuhi tunajaribu njia tofauti na rahisi.....
..kimsingi ni archive toka 2013.
Ngoja nipate fegi nje narudiii......
 
wakuu salaam kuna data zangu ambazo ni ''web base'',sasa jamaa tumezinguana nao ambao nilikuwa natumia web site yao.
Kwa sasa nina web yangu je? Naweza fanya usanii gani ili data zangu zote nizihamishie kwenye web yangu?
Natanguliza shukraan

kama unatumia cPanel fanya back up uchague ftp option hapo utaweka ftp account ya new host, back up itapelekwa huko
 
Umemjibu sahihi, Cpanel ina uwezo wa ku-back up hata emails zote, pamoja na files na hata database. Tatizo hajaelezea kwa kirefu website yake iko vipi na inatumia mfumo upi, is it based on a CMS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…