Kuhamahama vyama vya upinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhamahama vyama vya upinzani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Martin Mollel, Apr 10, 2011.

 1. M

  Martin Mollel Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  je kuhamahama toka chama kimoja kwenda kingine ni kutafuta maslahi, kuwatetea wanyonge au uzumbukuku?
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Maslahi mbele..wale jamaa CDM ilishawamulika mapema ndo maana wakagwaya,shitambala aliuza ubunge! Yule kayuni katamka wazi alexpect kupata ruzuku.....wanahamia jumba bovu.pole yao
   
Loading...