Wakuu nauliza namna ya kuhama mtandao kama ilivyotangazwa.
Je unahama vipi?
Ni nani aliyehama akafanikiwa?
Na je MB za mtandao uliohamia ndo utakazotimia kama umebadili Na umeunga MB hizo?
Ufafanuzi tafadhari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.