Wadau naomba ushaur wenu ili kujua utaratibu wa kuhama kwa secondment kabla ya kupata barua ya kuthibitishwa:
1. Mwajiriwa anaruhusiwa kuhama kwa secondment hata kama atakuwa hajapata barua ya kuthibitishwa kazin na mwajir wake wa awali?
2. Km inaruhusiwa kuhama, vp barua ya kuthibitishwa itatolewa na mwajiri wa awali au mwajiri mpya(seconment)?
3. Baada ya miez 12 ya kutumikia seconment, unaweza pata barua ya kuhamishwa permanently regardless ulikuwa hujapata barua ya kuthibitishwa kazin kwa mwajir wako wa awali?
Nawasilisha hoja ili wataalam wa utumishi na utawala rasilimali watu watoe ushaur wao juu ya hili.