Katrin is a newly established college , not accredited, has provisional registration and therefore does not qualify to be a college of choice for those well informed aspirants!Vipi umegoma kwenda Katrin???
Unataka kwenda chuo gani na wew saivi upo chuo ganiNomba mwenye kujua namna ya kuomba kuhama chuo kimoja kwenda kingine vyuo vya kilimo kwa ngazi za certificate anisaidie.
nataka niende Kilombero -KATRIN. What happened is this, nilichaguliwa vyuo viwili, cha kwanza Mtwara, nikamtumia joining instructions mfadhili. Baadaye nikapata offer ya KATRIN, wakati nimeshajiandaa kwenda KATRIN, mfadhili akawa ameshalipa Mtwara. nataka nihame kwenda KATRIN.Unataka kwenda chuo gani na wew saivi upo chuo gani
nataka niende Kilombero -KATRIN. What happened is this, nilichaguliwa vyuo viwili, cha kwanza Mtwara, nikamtumia joining instructions mfadhili. Baadaye nikapata offer ya KATRIN, wakati nimeshajiandaa kwenda KATRIN, mfadhili akawa ameshalipa Mtwara. nataka nihame kwenda KATRIN.
ada imelipwa mtwara, KATRIN si watadai ada tena? Mengine hayana shida ni hilo tuSasa kama kule tayar kuna jina lako hamn haja ya kufanya transfer so just mpigie principal wa mtwara akupe information zaidi coz hapo sio kuhama hapo unafanya kwenda kuripot. Sawa
ada imelipwa mtwara, KATRIN si watadai ada tena? Mengine hayana shida ni hilo tu
hapo ni shida labda kwa vile ni vya serikali na hel zinakwenda serikalini???? lakini kwanini wanaita self help fund?Labda uangalie je fee inaweza kurudishwa? Na kwa nijuavyo vyuo vingi au taasisi nyingi huwa hawarudishi Ada.