Kuhakiki taarifa za mpiga kura

Mfikirishi

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
7,495
8,539
Usipoteze muda wako kwenda kituoni wala kutumia *152*00#..

FUNGUA hii link:


http://voters.nec.go.tz:8081/vote/search/execute_search


Fuata haya MAELEKEZO:


1.Tumia ukurasa huu kuhakiki taarifa zako kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura.
2.Ingiza namba kama inavyoonekana kwenye kitambulisho chako cha Mpiga kura,Mfano T-1000-1000-100-0.
3.Baada ya kuingiza nambari ya kitambulisho cha mpiga kura bonyeza kitufe kilicho andikwa "Tafuta".


Sasa sijuhi ukijibiwa HUJAANDIKISHWA INAKUWAJE....??

Alafu nashangaa kitu kidogo tu hivi basi kwa Tanzania taarifa zitafichwaaaa weeeee.... #Time4Changes !!
 
Back
Top Bottom