Kugongewa mke inauma sana

Kama ni kweli Pole.

Ww hujawahi kumsaliti ?

Kinachokuumiza ni kumuamini sio kukusaliti.

Nimekua Nina mashaka na hizi thread za kusalitiwa humu.

Kusalitiwa ni kama kuumwa ugonjwa Fulani ambao mtu mmoja unaweza kukupata na mwingine usimpate katika maisha yake.

Kinga ni Bora kuliko tiba, you don't have to trust anyone except you, Hio itakuwa bima Yako kwa ajili ya issues za mahusiano sio tu ya mapenzi hata marafiki, ndugu,jamaa na majirani. Pigo linalouma ni kutoka kwa unaemuamini. Live your life Man [emoji149].
 
Kugongewa kuna uma ukiwa wewe ni limbukeni wa mbunye , napinga ndoa kabsa ila nawashauri wenye ndoa wafundisheni wake zenu mapenzi slama na matumizi ya kinga kwa sababu kugongewa hakukwepeki wakuu.
 
😅😂 TUKIWAAMBIA ACHENI KUKIMBILIA NDOA HAMSIKII, ISINGEKUUMA WALA KUKUSUMBUA MOYO KAMA UNGEKUA UMEZAA NAYE UMEMTELEKEZA HUKO MBALI KAZI YAKO INGEKUA KUMTUNZA MTOTO NA KUMSOMESHA NA KUMCHUKUA UNAPOHITAJI KUKAA NAYE... Vijana mtakufa na presha visukali na hizo ndoa zenu... How comes unaishi na mwanamke ambaye unajua ametrombwa nje, How comes guys..? Ni mama yako huyo kwamba ukimuacha hupat mwingine..? Mwanamke wa hivyo huwez kuwa na amani kila ukimvua nguo umle unakumbuka kuna jamaa anapita ninapopita 😂😅
 
Sema ka roho kanauma sana ukiona umepigiwa, na shida hujui jamaa amepiga mapigo gani yani.. 😅😅😅 mikunjo aliyokunjwa aki imagine tu moyo paaa
Hahahahah mtoto katoa miguno yote ya kimisuguano 🤣🤣🤣! Mwisho kakukandia sana kuwa hujui kitu yani na kaahidi kuwa atakuwa anaipeleka mbunye kwa baharia mara 4 kwa mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…