Kugongewa mke inauma sana

mkuu mbona ghafla namna hii kama gari za mwendokasi...?
 
Wanaume hatuwezi kuwa na pesa, nguvu za kiume, na mda kwa wakati mmoja vitu ambavyo wanawake wana vihitaji kutoka kwetu kwa wakati mmoja.
Kwa hiyo shida iko hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…