Omba ujue ila usipate ushahidi Wala kuthibitisha ili upate farajaHabari za wakati huu ni mbaya..
Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpe nini haridhiki.
Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana, kikubwa ni kuomba tu Mungu usigongewe mke sababu inauma sana na mke anauma sana aisee najua maumivu yake mimi eti.
Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi
NB: Mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti nisamehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana
Mkuu pole umeamua nini , mrejeshoHabari za wakati huu ni mbaya..
Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpe nini haridhiki.
Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana, kikubwa ni kuomba tu Mungu usigongewe mke sababu inauma sana na mke anauma sana aisee najua maumivu yake mimi eti.
Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi
NB: Mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti nisamehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana
Hata kuzaa nje mwanaume nazaa nje afu analeta mtoto hapohapo kwake na analazimisha kama utaki mtoto toka wewe. Ila mke akizaa nje ndoa mwisho hapohapo.Hili swali wanaume wengi hatulitaki kwa sababu tumeshajiwekea sheria kuwa mwanaume ni ruksa kuchepuka lakini mwanamke ni hapana. Na mbaya zaidi wanaume wanaopenda kuchepuka sana wana wivu siyo mchezo.
Labda yeye hajawahi kuchepuka.Typical mind set za wanaume wa kibongo. Wanadhani wao wana leseni ya kuchepuka lakini siyo wake zao.
Mmmmmh imeandikwa wapi???Aligongewa Adam pale bustanini Eden,,,tena na ulinzi wa Mungu ukiwepo,,Wewe ni Nani Broo??Usigongewe??
Thread 'Mwili na nafsi yangu inahitaji sasa niwe na mke nisaidieni' Mwili na nafsi yangu inahitaji sasa niwe na mke nisaidieniNikiona mwanaume kaguswa panapouma nafurahi😀😀😀
Thread 'Mwili na nafsi yangu inahitaji sasa niwe na mke nisaidieni' Mwili na nafsi yangu inahitaji sasa niwe na mke nisaidieni
Muongo jamaa
Alichomoa?Yani acha tu maana mie hata picha yako kila nikiiona napata hisia flani flani amazing sana. Ni kitu kipo automatic tu nadhani, hebu nifanyie wepesi basi nikuwe soja boy wako manzee
Pole sana mkuu,Mungu akufanyie wepesiHabari za wakati huu ni mbaya..
Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpe nini haridhiki.
Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana, kikubwa ni kuomba tu Mungu usigongewe mke sababu inauma sana na mke anauma sana aisee najua maumivu yake mimi eti.
Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi
NB: Mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti nisamehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana
Unakaa katikati unaokwa kama ndafu na hakuna kitu utafanya mpaka mafuta yote yakuisheNDOA ZAMA HIZI NI MICHONGO.
TULIOPO KWENYE NDOA TUNAJUA TUNACHOKISEMA,HUKU MSIJE MABIBI NA MABWANA.
MOTO MKALI CHINI NA JUU.
[emoji91]
Uzi huo anasema anatafuta mke[emoji3][emoji3][emoji3]
Uzi huo anasema anatafuta mke
Habari za wakati huu ni mbaya..