Kugongewa mke inauma sana

Dah pole asee ndio sababu aliokupa inamaana ww humridhishi mpka akatamani kwengineπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† matatizo ya nguvu za kiume yanatibika nenda kwa madaktari wakushauri nn cha kufanya ili utimize tamaa za mkeo
 
Ndoa TENAA
Ndoa againnn
Kilio kengine kutoka kwenye ndoa.

He kumbe huko kwenye ndoa "Wanawake mnafurahiaga mwanaume akichomwa sindano Kali..??!!"
😳😳😳

Dah waambieni basi wasioe ili KUPUNGUZA HIVI VILIO.

#YNWA
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€yaaani naungana na wewe kuna page nilikua napitia imagine mke wa mtu anasema yeye anajiridhisha na vibrator mumewe hana mudaπŸ˜€πŸ˜€ sasa ndoa ya nini si bora uwe single
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…