Kugongana kwa mabasi Sauli na New Force lilikuwa jambo la Muda tu

Kwa nini abiria huwa kimya badala ya kumwajibisha dreva na wakiulizwa na trafiki wanasema mambo shwari?
Hii ni kweli mkuu. Kuna siku nimepanda basi toka Dar kwenda Mwanza, chuma ilikuwa inapigwa mikwaju ya kufa raia, hapo tumeshika roho na kusali tu. Cha ajabu imepigwa mkono inspector anaingia anauliza vipi mwendokasi?

Maraia zinaitika "iko sawa afande".
 
Wewe mbona hutumii akili?

Mimi nakuuliza kuhusu sauli
Wewe ndiyo huna kichwa kabisa. Topic inahusu NewForce na Sauli na Golden Deer kugongana. Na picha zipo halafu unauliza kama zimewahi kugongana. Nyie ndiyo wehu wenyewe wa kutoka Mbeya mnaoshabikia Mwendokasi
 
Kuna shida yoyote? Hakuna Afande
 
Wewe mbona hutumii akili?

Mimi nakuuliza kuhusu sauli
Masuka wa Sauli, New Force, Super Feo, Msigwa mavi yao wote wanafukuzana kipumbafu sana. Saa 12:45 asubuhi huwa wanapita kwenye mataa ya Morogoro wanafuata matakoni kama siafu.

Mamlaka husika nyang'anya Leseni hao Masuka waliosababisha ajali kwa kufuzana matakoni kama siafu pumbafu zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kaanza uchawa nae:

 
Mimi bado ntazitupia lawama mamlaka husika kwa kushindwa kutofautisha ratiba za hawa wapuuzi ingali wanajua kinachoendelea. Kanda ya ziwa waliweka utofauti wa ratiba kati ya Chungwa na Jini Kisirani
Ni sababu pia, mamlaka ziwaangalie upya watagharimu maisha ya wengi wasipowachukulia hatua.
 
Serikali haina uwezo wa kuzuia hajari hata kama viashiria vitakuwepo mfano haya mabasi kila siku yanafukuzana polisi wanayaona lakini hawachukui hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…