Kugomea Vikao Vya Bunge Sio Suluhisho Kwa Matatizo Ya Mwananchi Aliyekuchagua

Abel 2015

Senior Member
Sep 5, 2015
112
55
Wabunge Wa UKAWA Wamekua Na Desturi Ya Kutoka Nje Ya Bunge Wakisingizia Kunyanyaswa Na Naibu Spika Jambo Ambalo Si La Kweli, Kwanza Wao Ndio Chanzo Cha Vurugu, Wanaomba Muongozo Kwa Jazba, Wanazomea Kama Watoto Na Kufanya Vurugu Zisizo Na Tija. Asante Genius Tulia Kwa Kuwaondoa Hawa Watu.

Naomba Serikali Izuie Mikutano Yao Kwani Muda Huu Si Wakufanya Siasa, Wasubiri 2020 Kampeni Zitakapoanza.

Huu Ni Muda Wakujenga Nchi Upya Hatutaki Siasa Mikutanoni, Siasa Tumeshamaliza 2015..
 
Wabunge Wa Ukawa Wamekua Na Desturi Ya Kutoka Nje Ya Bunge Wakisingizia Kunyanyaswa Na Naibu Spika Jambo Ambalo Si La Kweli, Kwanza Wao Ndio Chanzo Cha Vurugu, Wanaomba Muongozo Kwa Jazba, Wanazomea Kama Watoto Na Kufanya Vurugu Zisizo Na Tija.. Asante Genius Tulia Kwa Kuwaondoa Hawa Watu.. Naomba Serikali Izuie Mikutano Yao Kwani Muda Huu Si Wakufanya Siasa, Wasubiri 2020 Kampeni Zitakapoanza.. Huu Ni Muda Wakujenga Nchi Upya Hatutaki Siasa Mikutanoni, Siasa Tumeshamaliza 2015..

Genius ni mtu wa aina gani?

Unazijua kanuni za bunge?

Unajua matakwa ya kisheria inayounda vyama vya kisiasa?

Kama u miongoni mwa 46 basi fanya homework yako vizuri
 
kuargue na uyu ni kupoteza muda pia kujichosha na matumizi mabaya ya nguvu.... namuuona hajui hata anachoandika. ivi shaka wa UVCCM anafanya nini uko Morogoro na Singida??...

duh inabidi ujitie akili ya maiti ili uanzishe thread hii ya abel 2015
 
Naona umeamka na hangover ukaamua kupost huu uzi.
 
Ndio mkuu siasa zmeisha hadi 2020, ufipa wawe wavumilivu wajenge Chama kwa vikao vya ndani tu, polen sana kubadili gia angani
 
CCM bhana ..ina maana hajui siasa ni maisha ? UKAWA wanajitambua sana ..tofauti na wale wanayoitikia muda wote ndiyoooo kama ngoma
 
Eti na wewe 'umeandika" haaa! utafikiri umechomolewa tumboni mwa mamba ukiwa hujatulia ufahamu?! Pole sana nadhani utakuwa unatoka katika ile mikoa sita inayo ongoza kwa umaskini. mbunge hatakiwi kuingia bungeni na kusinzia au kushangilia wewe.
 
Wabunge Wa Ukawa Wamekua Na Desturi Ya Kutoka Nje Ya Bunge Wakisingizia Kunyanyaswa Na Naibu Spika Jambo Ambalo Si La Kweli, Kwanza Wao Ndio Chanzo Cha Vurugu, Wanaomba Muongozo Kwa Jazba, Wanazomea Kama Watoto Na Kufanya Vurugu Zisizo Na Tija.. Asante Genius Tulia Kwa Kuwaondoa Hawa Watu.. Naomba Serikali Izuie Mikutano Yao Kwani Muda Huu Si Wakufanya Siasa, Wasubiri 2020 Kampeni Zitakapoanza.. Huu Ni Muda Wakujenga Nchi Upya Hatutaki Siasa Mikutanoni, Siasa Tumeshamaliza 2015..
Nakubaliana 100%. Wabunge wa ukawa wanajipoteza kwenye dira. Hivi ukimuuliza mwananchi wa kawaida mpaka sasa ni nini mapungufu ya serikali iliyopo madarakani??? Jibu obvious ni hakuna. Sasa wapinzani wanataka nini??? I wish wangefungwa wote tu mpaka 2020 ndiyo watolewe ili liwe fundisho, tunataka kujenga nchi na siyo kuanza kueneza uongo na kujenga chuki kwa wananchi.
 
Kapige kampeni 2020 wasichaguliwe kama unaona siyo issue kwa mawazo yako ya mtindio
 
Wabunge Wa Ukawa Wamekua Na Desturi Ya Kutoka Nje Ya Bunge Wakisingizia Kunyanyaswa Na Naibu Spika Jambo Ambalo Si La Kweli, Kwanza Wao Ndio Chanzo Cha Vurugu, Wanaomba Muongozo Kwa Jazba, Wanazomea Kama Watoto Na Kufanya Vurugu Zisizo Na Tija.. Asante Genius Tulia Kwa Kuwaondoa Hawa Watu.. Naomba Serikali Izuie Mikutano Yao Kwani Muda Huu Si Wakufanya Siasa, Wasubiri 2020 Kampeni Zitakapoanza.. Huu Ni Muda Wakujenga Nchi Upya Hatutaki Siasa Mikutanoni, Siasa Tumeshamaliza 2015..
Sasa kama hawana hoja manawataka wa nn ,nyie endeleeni kulala bungeni na kusema ndiooo........na kujadili mambo amabayo hatuja watuma...sis waathirika wa operation tokomeza tuna wasubir huku mtaani 2020 ,mmepiga kura ya kukataa tusilipwe fidia....tunajua hilo yunawasubir kwa ham sana.....
 
Genius ni mtu wa aina gani?

Unazijua kanuni za bunge?

Unajua matakwa ya kisheria inayounda vyama vya kisiasa?

Kama u miongoni mwa 46 basi fanya homework yako vizuri
UKAWA ni kichaka cha wapiga deal kwa kisingizio cha democracy, rubbish!
 
Nakubaliana 100%. Wabunge wa ukawa wanajipoteza kwenye dira. Hivi ukimuuliza mwananchi wa kawaida mpaka sasa ni nini mapungufu ya serikali iliyopo madarakani??? Jibu obvious ni hakuna. Sasa wapinzani wanataka nini??? I wish wangefungwa wote tu mpaka 2020 ndiyo watolewe ili liwe fundisho, tunataka kujenga nchi na siyo kuanza kueneza uongo na kujenga chuki kwa wananchi.
IQ 12%. Hii inakutosha kujua mlango wa chooni ni wapi na chumba cha kulala pekee.
Mengine achana nayo
 
Kwa nini hamna raha? si muendelee na Bunge lenu? kitu gani kinawakosesha usingizi na amani mpaka mnafikia kuchukua posho bila raha? nafsi zinawasuta?
 
kumbafu zenyu, mykoundou yenou
Wewe unafikiri tunawasema kwasababu tunakosa raha? kwenda bungeni siyo ishu ya raha, ni ishu ya kuwajibika. Tunawataka warudi bungeni wakawajibike kwasababu ni kazi waliyoiomba wao na walitakiwa kuelewa mapema kwamba siasa ziko hivyo duniani pote, hakuna ulelemama na kususa kama watoto. Siasa zina uringo na uringo wao ni bungeni, kukaa mtaani wakati bunge linaendelea ni utoro na ukwepaji majukumu ya kisiasa. Bajeti inapita na wataisoma namba mda ukifika.
 
Wabunge Wa Ukawa Wamekua Na Desturi Ya Kutoka Nje Ya Bunge Wakisingizia Kunyanyaswa Na Naibu Spika Jambo Ambalo Si La Kweli, Kwanza Wao Ndio Chanzo Cha Vurugu, Wanaomba Muongozo Kwa Jazba, Wanazomea Kama Watoto Na Kufanya Vurugu Zisizo Na Tija.. Asante Genius Tulia Kwa Kuwaondoa Hawa Watu.. Naomba Serikali Izuie Mikutano Yao Kwani Muda Huu Si Wakufanya Siasa, Wasubiri 2020 Kampeni Zitakapoanza.. Huu Ni Muda Wakujenga Nchi Upya Hatutaki Siasa Mikutanoni, Siasa Tumeshamaliza 2015..
Nchi hii ina matatizo makubwa sana huyu naye ni raia anayejiita mzalendo. Tena si ajabu ni msomi kama Jeska.
1. Asiyejua thamani na maana ya upinzani nchini.
2. Anayedhani kujenga chama na kutafuta wanachama ni kipindi cha uchaguzi tu
3. CCM imeharibu vijana wa nchi kwa kuwaaminisha kwamba siasa ya vyama vingi ni ushabiki badala ya sera.

Aina ya watu kama huyu ni aibu kwa taifa hili na nchi hii lazima iendelee kuwa ya mwisho kwenye kanda hii kwa kila kitu. Kwa sababu taifa limemewekeza kwenye ujinga wa watu wake.
 
Wabunge Wa Ukawa Wamekua Na Desturi Ya Kutoka Nje Ya Bunge Wakisingizia Kunyanyaswa Na Naibu Spika Jambo Ambalo Si La Kweli, Kwanza Wao Ndio Chanzo Cha Vurugu, Wanaomba Muongozo Kwa Jazba, Wanazomea Kama Watoto Na Kufanya Vurugu Zisizo Na Tija.. Asante Genius Tulia Kwa Kuwaondoa Hawa Watu.. Naomba Serikali Izuie Mikutano Yao Kwani Muda Huu Si Wakufanya Siasa, Wasubiri 2020 Kampeni Zitakapoanza.. Huu Ni Muda Wakujenga Nchi Upya Hatutaki Siasa Mikutanoni, Siasa Tumeshamaliza 2015..

Veve iko pita "levo" ya ujinga na sasa iko ingia "levo" ya utumbafu na iko andika kama mtu mmoja humu ambayo aitwa "Akudadavua"....

Kwani veve iko maanisha nini hapa??

Mimi apana elewa kabisa.....
 
Wabunge Wa UKAWA Wamekua Na Desturi Ya Kutoka Nje Ya Bunge Wakisingizia Kunyanyaswa Na Naibu Spika Jambo Ambalo Si La Kweli, Kwanza Wao Ndio Chanzo Cha Vurugu, Wanaomba Muongozo Kwa Jazba, Wanazomea Kama Watoto Na Kufanya Vurugu Zisizo Na Tija.. Asante Genius Tulia Kwa Kuwaondoa Hawa Watu.. Naomba Serikali Izuie Mikutano Yao Kwani Muda Huu Si Wakufanya Siasa, Wasubiri 2020 Kampeni Zitakapoanza.. Huu Ni Muda Wakujenga Nchi Upya Hatutaki Siasa Mikutanoni, Siasa Tumeshamaliza 2015..
Heading yako, Nilijua unaonesha tatizo na Solutions... Baada yake Umempongeza Tulia ,umeiomba serikali izuie mikutano ya kisiasa,Na umewapangia muda wa siasa......!... Sijui hata kama unaijua katiba ya Nchi yako
 
Back
Top Bottom