Kugombea ubunge 2015

kaniki2

Senior Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
124
Reaction score
36
Wakuu salam,

Ninafikiria kugombea ubunge 2015 kwa nia ya kuwakilisha vyema zaidi jimbo langu na kuutumikia umma wa TZ. Nina nia. Miaka nenda rudi jimbo hili limekuwa likitoa wabunge wasioongea bungeni, wengi wao wana elimu ya darasa la saba. Mpaka sasa sijaamua nigombee kupitia chama kipi na ukweli sina uzoefu wa kivitendo ktk siasa. Nimewahi kuombwa na watu wachache nijitose ktk siasa.

Naombeni ushauri wenu, nini cha kufanya ili nifanikiwe katika safafri hii mpya. Safari ya kuwa mwanasiasa!

Asanteni wote.
 
Hauko prepared na unachotaka kukifanya! Shame on you.
 
hujiamini, ni muoga na huenda una uwezo mdogo, nasema ivo kwa sababu
1.huna jina
2.hujui ni jimbo gani
3.huna malengo
4.huna base
 
Mkuu unaogopa nini????
Weka full details hapa watu wachangie
Unasema huna chama kwaiyo unafata upepo utakapoelekea 2015 na wewe unaenda hukohuko
.....jipange......
 
Huna chama mpaka leo? wewe unaweza kuwa mnafiki kuliko hata mbunge aliyopo. Kwanini hujiamini, SIASA ZA SASA HIVI NI HARAKATI TUPU, KUMBE HATA M4C HUJASHIRIKI! POLE SANA. WEWE HUJIAMINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…