Kugombania maiti

Mkuu, "ndoa ya kisasa" ndio ipi hiyo?
Ndoa ya kisasa, ndoa ambazo zinaambatana na sherehr kubwa. Bibi harusi na bwana harusi wanatembezwa mji mzima wakiwa wanapungia watu mikono.
Ndoa zenye gharama zake.
 
mtihani mkubwa ni pale wanandoa ni dini tofauti na kila upande wamekolea kwenye dini husika
 
Kumbe walishaachana nasema hiviii huyo mwanaume ana kiherehere
 
nakazia hapa USIOLEWE NA USIOE MTU ASIYE WA DINI YAKO KWANI UNABANA RIZIKI KWA WENGINE WANAOLANDANA DINI NA HUYO UNAYEENDA OLEWA AU KUMUOA
Nakazia ukimwomba Mungu lazima atakupa wa kufanana nawe hawezi kukupa wa tofauti hakuna kitu kigumu kama kubadili dini wallah
 
Nakazia ukimwomba Mungu lazima atakupa wa kufanana nawe hawezi kukupa wa tofauti hakuna kitu kigumu kama kubadili dini wallah
nakazia hakuna kitu kibaya ukitengwa na waamini wako wa zamani katika mambo mengine ya kijamii baada ya kuhama dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…