😝😝😝jamii forum banaKugegede ni neno la heshima yaani neno la lenye asili ya kibantu lenye maana ya salamu mfano za sahizi
Mtoa Mada nasikitika kuona walionitangulia kutoa maoni wanapotosha lugha hii adhwimu kutoka ubantuni ambayo inaelekea kupotea hvyo basi nakusihi endelea kulitumia ili neno kusalimia watu ili kulikuza lisipotee
Na wengi wahenga na tuliozunguka sana tunalitambua
Mfano pendelea kusalimia watu mfano bosi au mpangaji mwenzio mfano "nitakugegeda boss "ikiwa na maana habari za sahizi boss
[emoji13][emoji13][emoji13]jamii forum bana
hahaa...ni kusex kwa mujibu watumiajWajumbe habari zenu.nimekua nikichungulia kwenye forum hii kwa siku kadhaa na nimepatwa na mtikisiko wa mawazo kutokana na neno kugegeda.hivi hili neno Lina maana gani? Maana Kuna muda nahisi ni Bata dume ambae anaitwa gegedu.huenda Ni typing error ya mwandishi Cha ajabu kila nikichungulia humu nazidi kukutana nalo.kugegeda Ni Nini hichi??
hahaa...ni kusex kwa mujibu watumiaj
ndo naona wanatumia ivo humu jfDaughter nazani wewe na Hawa wote umu ndani mnaharibu lugha
inaongeza cku za kuishi😂Ina nini mama la mama?
Kugegede ni neno la heshima yaani neno la lenye asili ya kibantu lenye maana ya salamu mfano za sahizi
Mtoa Mada nasikitika kuona walionitangulia kutoa maoni wanapotosha lugha hii adhwimu kutoka ubantuni ambayo inaelekea kupotea hvyo basi nakusihi endelea kulitumia ili neno kusalimia watu ili kulikuza lisipotee
Na wengi wahenga na tuliozunguka sana tunalitambua
Mfano pendelea kusalimia watu mfano bosi au mpangaji mwenzio mfano "nitakugegeda boss "ikiwa na maana habari za sahizi boss
Kugegede ni neno la heshima yaani neno la lenye asili ya kibantu lenye maana ya salamu mfano za sahizi
Mtoa Mada nasikitika kuona walionitangulia kutoa maoni wanapotosha lugha hii adhwimu kutoka ubantuni ambayo inaelekea kupotea hvyo basi nakusihi endelea kulitumia ili neno kusalimia watu ili kulikuza lisipotee
Na wengi wahenga na tuliozunguka sana tunalitambua
Mfano pendelea kusalimia watu mfano bosi au mpangaji mwenzio mfano "nitakugegeda boss "ikiwa na maana habari za sahizi boss
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] imetumika intentionallyExactly!! Thank you 4 your welcome.
But not she.you may use he pliz