Ina wanachama wengi wazee kwa sababu za kihistoria na wala sio kwasababu ya ubora. Ingekuwa na wapiga kura wengi isingekuwa inategemea kuiba kura. Uwe na watu wengi kisha utegemee wizi wa kura? Nimecheka kinoma.Kwanza CCM ni chama ambacho kina wafuasi wengi kuanzia ngazi ya Chini kina wapiga Kura wengi hiyo ni Imani yenu Tu kuwa CCM inatumia vyombo vya Dola Kwa Sababu CCM wanawatu wengi Sana
Wewe ujue Tu hakuna chama chochote Kina uwezo wa kuishinda CCM na ni mtu Tu asiyekuwa na Akili anayefikiri kuwa CCM inampinzani Tanzania.ccm haiwezi kupora uchaguzi wanawatu wengi Sana.Anapendwa kisha ikifika kipimo cha kupendwa anapora uchaguzi, uza ubongo huo. Angeheshimu matokeo halali ya uchaguzi tungemaliza huo uongo wa kupika kuwa anapendwa sana.
Ni kweli mliokuwa mnaompenda mlimpenda sana, lakini sio kuwa alikuwa anapendwa sana na wengi, na hiyo ndiyo sababu alipora uchaguzi ili kupata matokeo aliyokuwa anaongepea watu.
Kwanza CCM ni chama ambacho kina wafuasi wengi kuanzia ngazi ya Chini kina wapiga Kura wengi hiyo ni Imani yenu Tu kuwa CCM inatumia vyombo vya Dola Kwa Sababu CCM wanawatu wengi Sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jua lote hili lilivyokali alafu eti tunaambiwa damu imeganda!
Ina watu wengi kisha inaaogopa uchaguzi halali, uza ubongo huo bro maana unakaa nao kwa hasara.Wewe ujue Tu hakuna chama chochote Kina uwezo wa kuishinda CCM na ni mtu Tu asiyekuwa na Akili anayefikiri kuwa CCM inampinzani Tanzania.ccm haiwezi kupora uchaguzi wanawatu wengi Sana.
Mtaji ni watu.CCM inawanachama wangapi na wapinzani wanawanachama wangapi?anzia hapoHizo ni porojo za miaka ya nyuma, CCM haina ushawishi wa kizazi cha kuanzia miaka ya 90, Ndio maana inalazimisha kukaa madarakani kwa shuruti. Kuwa na ukubwa kutokana na sababu za kihistoria, haimaanishi una ushawishi. Na siku uchaguzi utakuwa huru ndio utajua CCM sio chama cha kizazi hiki.
CCM wamekuambia wanaogopa uchaguzi? CCM haijawahi kuogopa uchaguzi Kwa Sababu wanauhakika wa ushindiIna watu wengi kisha inaaogopa uchaguzi halali, uza ubongo huo bro maana unakaa nao kwa hasara.
Watanzania wengi hawana vyama, huenda hujui hilo. Ww baki na idadi ya wanachama wa kupika, na kuuza kadi kwa watu wenye hofu na CCM. Kizazi kimebadilika hiki, na CCM kuiba kura ni kwakuwa muda na kizazi haviko upande wao. Ila kwakuwa ww ni mzee bado unaamini kwenye wingi wa propaganda.Mtaji ni watu.CCM inawanachama wangapi na wapinzani wanawanachama wangapi?anzia hapo
Wataigopaje uchaguzi wakati bado wanambeleko ya vyombo vya dola?CCM wamekuambia wanaogopa uchaguzi? CCM haijawahi kuogopa uchaguzi Kwa Sababu wanauhakika wa ushindi
Kwani c yameanza baada 17-03-2021?, ndani ya miaka miwili mlikuwa wapi kuyakemea?Kipindi kile hakukuwa na matamko yaliyojaa makufuru kama sasa hivi ndo maana watanzania wanakasirika
Baada ya kuona madhara ya hayo matamko juziKwani c yameanza baada 17-03-2021?, ndani ya miaka miwili mlikuwa wapi kuyakemea?
Mbona ujumbe wangu uko wazi wewe dada. Ni Kwamba jpm tutaendelea kumpenda tena sana wala hatujali wewe unasema nini!Bado hujapanick vizuri, utapanick sana. Kama mnajua hakuna anayependwa na wote, ni kipi kinawaliza hapa tukimpa dhalimu vipande vyake?
Kama hakuna mpinzani anaweza kumshinda mgombea wa CCM, kipi kinafanya CCM izidi kutegemea vyombo vya dola tena wazi wazi? Wapinzani wamekuwa wakilalamika wizi wa kura kabla ya dhalimu kuingia madarakani, lakini dhalimu yeye hakuiba kura, bali alipora mchakato wa uchaguzi.
Sasa kwa kufanya hivyo unazuia vp kiongozi mwengine muovu kuwa rais? Yani kwamba ccm wachague mtu wao huko wewe utaweza kuzuia?Kilichofanyika juzi sio kuonyesha umoja ulivyoondoka maana tayari dhalimu alishauondoa, bali kilichofanyika juzi ni nyie sukuma gang kujaribu kujifariji kutokana na mashambulizi anayopewa dhalimu kutokana na aina ya siasa zake za kuhayawani alizoendesha hapa nchini.
Kwa bahati mbaya mnadhani kuna mtu atatishika na reaction yenu. Hakuna mtu atatishika na kilio chenu, na tutaendelea kumsagia kunguni dhalimu ili isitokee kiongozi mwingine muovu wa aina yake kuwa rais wa nchi hii.
Unaweza ukafa wewe kabla ya makambaUkweli ni kwamba sherehe kamili ni siku Makamba au Familia yake Akifa. Pia Kuna wakuu waaili walio bariki Upuuzi huu nao siku wakifa Kuna watu tutatembea Uchi.
Kwa namna ipi sasa ya kutopoa kijana! Wakati wao wakiendelea kusubiri wengine watwaliwe mbinguni, wa kwao alishatwaliwa kitambo na maumivu kwao siyo kama ya kwao maana wao walishalia wamesahau,Kila sukuma gang anatamani hii iwe ndio kitisho au kinga kwa dhalimu. Kwa taarifa yako dhalimu ndio alileta huu upuuzi, na hatupoi. Hatuna muda wa kutaka muungano na watu mliofurahia dhalimu kuumiza wasiokubaliana na utashi wake.