Kugawanyika Kwa watanzania

Mbona enzi za Magufuli watu hawakugawanyika hivi?mgawanyiko ukiletwa na maneno yao.wewe waambie wenzako wameshapata laana na wataangamia Kwa Sababu kutokana na maneno yao wanahusika Katika kutoa uhai wa magufuli.huwezi kumtoa uhai kiongozi anayetoka Kwa Mungu na ukabaki salama wataangamia.
 
Mngeanza kukemea kipindi kile mngekua mna maana, tatizo mmestuka kumekucha. Acha inyeshe tu tena ya Acid.
 
Umoja dhalimu alishauondoa, saa hii tuko kwenye mavuno ya siasa zake za kishamba.
Uzuri hata marehemu baba yako hakupendwa na watu wote, wapo waliomchukia, vilevile hata mume wako hapendwi na watu wote wapo watakaodurahia kifo chake.

Hata wewe hupendwi na watu wote wapo watàkao furahia kuona maiti yako dada.

Kama Yesu na Mtume Muhamad hawakupendwa na watu wote JPM yeye ni nani mpaka apendwe na watu wote?

Unayohaki ya kumtukana na kumdhihaki upendavyo lakin tunaompenda JPM tutaendelea kumpenda daima na daima.
 
Mngeanza kukemea kipindi kile mngekua mna maana, tatizo mmestuka kumekucha. Acha inyeshe tu tena ya Acid.
Kipindi kile hakukuwa na matamko yaliyojaa makufuru kama sasa hivi ndo maana watanzania wanakasirika
 
Kama taifa halikugawanyika mbona kipindi cha mazishi ya dhalimu watu waliokuwa wanasherehekea kifo chake walikuwa wanakamatwa. Hii kujiliza kuwa watu wanampondea dhalimu huku mitandaoni wakati ameshakufa ni kilio cha nini? Dhalimu ndio aliharibu mshikamano ndani ya taifa hili, au unadhani mtatupoteza maboya nini? Sasa subiri baada ya mazishi ya Membe uone kama kuna mtu atakuwa anamuongelea zaidi ya dhalimu wa chattle.
 
Saa100 alikuwa na nafasi ya kukemea hiyo kauli kama kiongozi mkuu wa nchi .kukaa kwake kimya maana yake aibariki haya matamko na yeye mwenyewe amekuwa akitoa kauli zinazoaahiria kuunga mkono hizo hoja mfano simba wa yuda, hataki kodi za dhulma ,
Hataki nidhamu za uoga
 

Bado hujapanick vizuri, utapanick sana. Kama mnajua hakuna anayependwa na wote, ni kipi kinawaliza hapa tukimpa dhalimu vipande vyake?
 
Kila sukuma gang anatamani hii iwe ndio kitisho au kinga kwa dhalimu. Kwa taarifa yako dhalimu ndio alileta huu upuuzi, na hatupoi. Hatuna muda wa kutaka muungano na watu mliofurahia dhalimu kuumiza wasiokubaliana na utashi wake.
Wacha uwongo Tindo Lisssu. Hakuna kikundi au genge lelote Tanzania linaloitwa 'Sukuma Gang' kuna Kabila la Wasukuma.

CHADEMA mnatumia siasa za kiutenganishi, (secession) yaani mavitu mnayofundishwa na mabeberu. Sasa ndio mmeng'ang'ania Majimbo ili mje muuze nchi mazima kwa Mababeru.

CHADEMA, mna mipango na mabeberu kuja kuangamiza Kabila la Wasukuma kwa sababu ya Visasi vyenu binafsi, tena visasi vya Mbowe na Lissu dhidi ya Hayati Raisi ambaye alikuwa Msukuma. Wacheni Ugaidi na Genocide dhidi ya Kabila la Wasukuma.
 
Kinawatu wanajifanya miungu watu kwamba nchi niyao na wanaweza kuitafuna bila kuulizwa.

Jembe alivunja huo umunguwao nakuweka ugumu kwenye upigajj hali iliyowafanya kuchukizwa sana na hatimaye wakafurahia kifochake.

Hawa unaowaona humu ni dagaaa waganga njaa tu waliokuwa wanaokota angalau makombo ya mafisadi.
Wao pia maisha yalikuwa magumu baada ya bwanazao kubanwa na hawata sahau milele.

Ukiona mtu anajaribu kumchafua Jembe ujue aidha alikuwa mkwepa Kodi, mlarushwa, cheti feki ama alikuwa na kamrija kwenye mtungi wa fisadi.

Nawanufaika waufisadi wapo mpaka wapinzani uchwara wote wakina zzk walio kataa kuzikwa lirondo pia ndio wahusika wenyewe.

R.I P Jembe wananchi wazalendo wanakukumbuka milele.
 
Wale waliokuwa wanasherekea wakati ule ilikuwa ni watu wachache mafisadi yaliyobanwa enzi za Magufuli yanafurahia Kwamba Wanaenda kupata ahueni,pia wale vyeti feki na wapenda magendo lakini hata wewe unajua watanzania wengi walilia na kuumia lakini sasa hivi watanzania wengi wanafurahi wakiona watu wa kikundi kile wamepata matatizo.yaani sio Facebook, Instagram na mitandao yote watu walifurahia hiyo juzi.
 
Aanze kukemea sasa Kwa Sababu hizi kauli zinahatarisha umoja wa watanzania yaani tunafurahi mtu Fulani akifa aise sio utanzania huu.
 
Rudisha akili zako ufikiri kwa kichwa, kwahiyo huyo unaemuita dhalimu ndio alikuwa anawakamata.
 
Kama serikali saa100 hawaelewani raisi akisema hata amna anayemsikiliza unategemea nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…