PreGE2025 Kugawa baiskeli siyo rushwa ya uchaguzi?

PreGE2025 Kugawa baiskeli siyo rushwa ya uchaguzi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hakuna rais ambaye hajakubalika na watanzania kama huyu, na sidhani kama atakuja kutokea tena atakayemzidi.
 
Wenye masrahi na CCM na Samia wanasema mitano tena, wasionufaika moja kwa moja wanasema NoReformsNoElection. Ngoja nipande kwenye mti kama Zakayo nishuhudie mnyukano
 
Wenye masrahi na CCM na Samia wanasema mitano tena, wasionufaika moja kwa moja wanasema NoReformsNoElection. Ngoja nipande kwenye mti kama Zakayo nishuhudie mnyukano

😳😳😳😳😳😳😳😳
 
Hivi karibuni, rais Samia alitoa baiskeli kibao.
Je hii siyo rushwa?
Je hii pesa ndiyo inafanya tukope sana?
Je rais kaipata wapi tena kihalali pesa hii?
Je ananunua nini zaidi ya kura?
Je hapa kutakuwa na haki?
Je anatufundisha nini?
Je anaogopa nini hadi ahonge?
Who cares? Haya majambazi ukiyapigia kura yameshinda na usipoyapiga yameshinda vile vile!
 
Halafu huyo huyo anakuambia uchaguzi utakuwa huru na haki. Unajiuliza huyo anajielewa kweli?
 
Hivi karibuni, rais Samia alitoa baiskeli kibao.
Je hii siyo rushwa?
Je hii pesa ndiyo inafanya tukope sana?
Je rais kaipata wapi tena kihalali pesa hii?
Je ananunua nini zaidi ya kura?
Je hapa kutakuwa na haki?
Je anatufundisha nini?
Je anaogopa nini hadi ahonge?
Amegawa Kwa wana ccm wenzake

Hajagawa Kwa raia wasio wana ccm
 
Back
Top Bottom