Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,515
- 6,489
Wewe unapenda kudeka navyokuona
heeeeeeeeee pa wakubwa apa byeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
There is no formula katika hili. Mimi kawaida yangu baada ya kumaliza shughuli inabidi mpenzi ashike mike akaushe na mimi naingia chumvini kukausha.
uzuri wako wewe huwa hufuti, bali unakausha kabisa!!!!!!
uzuri wako wewe huwa hufuti, bali unakausha kabisa!!!!!!
nywele zako!!!!!
matau yangu?
nywele zako!!!!!
mayai yangu?
Lakini DA, unaonaje hii!kwa mwanamke mstaarabu ni vema akamfuta mwenzi wake au sio?
1.fanya vile roho inapenda. Kama unataka kufutwa mwombe mwenzio atakufanyiajamani kwa uzoefu wangu toka nianze mapenzi mpaka sasa nimeoa, mara zote baada ya kufanya mapenzi wanawake hunifuta vizuuuri sehemu nyeti alafu na kujifuta wao pia. Sasa sijui wanafundishwa au ni nature inayowaalekeze kubeba jukumu la kumfuta mwanaume, (sijawahi wauliza). Ila mimi napenda sana this kind of care. Hata ukienda kwa changudoa ndie atakutoa condom(please papa mt. Karuhusu) na pengine kukupukuta. Ninachotaka kujua ni je kuna wengine mambo ni tofauti, yaani demu hakufuti au man ndie anamfuta demu seheme nyeti baada shughuli, au kila mtu anajihudumia kivyake?
Mtanisamehe kama hii mada ilishajadiliwa na mimi sikuiona.