Kufutwa kwa matokeo darasa la saba !!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufutwa kwa matokeo darasa la saba !!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Matango, Dec 15, 2011.

 1. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wanafunzi waliofutiwa Matokeo wasiachwe.
  Wamepotoshwa na watu wazima waliopewa mamlaka ya kuwalea na kuwasimamia.
  Waliohusika wote wachukuliwe Hatua.
  Hawa watoto wasiharibiwe maisha kutokana na utashi wa wakuu waliotaka kupata sifa kupitia migongo yao.
  Jaribu kujiweka katika nafasi yao, kama ungekuwa wewe unafanya mtihani wa darasa la saba katika mazingira hayo na umri uliokuwa nao wakati huo.
  Wasaidieni hao watoto !!!!!!
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ndo washaharibiwa tena
  ila watakuja kuwa ma'expert wa cheating,imagine wakifika level ya degree
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Majibu kwenye YEBOYEBO!HII KALI SANA!
   
 4. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Shule za sekondari ni chache na walimu ni wachache then serikali ya sisiem lazima iwazamishe kuwa umeiba mitihani.
  Ingekuwa kuna shule na walimu wakutosha basi wote wangeshinda.
  Mtihani haukuvuja kabisa na ingekua hivyo habari zingekuwepo ata kabla ya kusahisha.
  Serikali inawazika watu wake asa wale maskini kabisa.JK you are a demon.
   
Loading...