Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,054
- 3,263
Waziri wa Fedha jana alitamka kundoa Kodi kwenye Bodaboda , kwa lengo la kuongeza Ajira zaidi kwa Vijana .
Nnachokifahamu ,Opportunity yoyote ya Ajira hutengenezwa kwa kuzingatia Mazingira Mazuri ya ajira husika , ikiwa ni Pamoja na Bima ya Ajira Hiyo .Tumesikiliza na tunaendelea kusikiliza kila kukicha vyombo vya habari vikiripoti Majanga juu ya hizi pikipiki bila serikali kuchukua hatua yeyote kunusuru nguvu kazi ya Taifa ,ambapo vijana ndio idadi kubwa waliojikita kwnye kazi hii.
Je Serikali inatengeneza ajira , au ! Mm naona Serikali inajitengenezea Walemavu tu ,na kuua nguvu kazi ya Taifa. Serikali jipangeni kutafuta ajira zenye Mantiki na Zenye Mazingira Mazuri kwa Wananchi , acheni kufaanya Maisha ya Watu Mchezo wa Kisiasa.