Kufutiwa ajira zetu uhamiaji

Kufutiwa ajira zetu uhamiaji

salawi

Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
21
Reaction score
2
Mnamo tarehe 28 mwez August uhamiaji watanzania walifanya interview ili kupata ajira ,wapo tulipita na tukaitwa kuripoti kazin tareh 6 sep lakin ilibadilika na kufutiwa matokeo yetu kwa sababu eti mitandao ya kijamii ililipoti kuna watu walipita kiundugu japo walitajwa majina baadhi lakin sio wote tulipitishwa mfano mimi hapa sina ndugu yoyote mimi ndoo wa kwanza kwetu kupata elim ya sekondari, Je! Serikali inaaminije mitaandao ya kijamii hafu juzi tu Membe alikanusha taarifa za CNN na AL JAZEER kuhusu rais wa China kubeba shehena ya meno ya tembo! Wakati sisi ikifutwa bila hata kuchunguza taarifa za mitandao ya jamii? Tunaomba ushauri kwenu maana tumepanga kuiburuza mahakamani idara hiyo kwa sababu katibu mkuu alitufutia ajira zetu wakati kamshina mkuu wa uhamiaji alituita kazin tulio kidhi vigezo vyote na ndio maana tuliitwa kazin, pia sababu yao ya kusema watu tulipita kiundungu haina mashiko kwan wote walio tajwa ni kweli wanaundugu kwa nini wasingetolewa tu wale wote walio pitishwa?
 
Uko sahihi kwa namna ulivyojenga hojayo. Lakini kwa upande mwingine wa saikolojia napata picha kwamba huenda tabia zako zisiendana sana na tabia zinazotakiwa kwenye majeshi hasa jeshi letu la wananchi. Isisahau hata uhamiaji nalo ni jeshi.
 
MaMbA.du?
UHamIaji waLioGopa tu.iLa waNgebAkI Na MsiMamo Wao peNgiNe iSinGekUa taTizo sAsa hiVi. MoJa kaTi yA siDe eFFects za SoCiaL mEdia nI kUfaNya JamBo DoGo KuoNeKana KubWaa kUaliko uhaLiSia wake. Pole sAna kaka uTafaNikiwa kazi Sio uHamIaji tu.
 
uandishi wako ni majanga tu
 
Uko sahihi kwa namna ulivyojenga hojayo. Lakini kwa upande mwingine wa saikolojia napata picha kwamba huenda tabia zako zisiendana sana na tabia zinazotakiwa kwenye majeshi hasa jeshi letu la wananchi. Isisahau hata uhamiaji nalo ni jeshi.

Kaka saikolojia ipi kk mbona hujafafanua mm naulixa kwa nn tufutiwe wote wakati wapo litajwa n majina yao had dugu yake na anacheo gani uhamiaji? Cc kosa letu nn?
 
Back
Top Bottom