Kufutilisha

miss wa kinyaru

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2012
Posts
542
Reaction score
356
Niko Mwanza napenda niwafutulishe wana JF wa Mwanza lakini, naogopa wengine wasije kuleta maada hapa,
 
KUFUTULISHA...Duh! kiswahili kigumu au mimi ndie mshamba wa kiswahili?
 
Ndo nimestuka kumbe ni Kufuturisha... Mkuu waalike tu waje kula futari wala usiangalie wao kuleta mada hapa na kama wataleta itakuwa nzuri yenye kuleta baraka mbele za MwenyenziMungu. Binafsi ningekuwepo ningekaribia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…