Kufuru ya waziri wa ulinzi wa Cameron.

Kufuru ya waziri wa ulinzi wa Cameron.

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,880
Reaction score
63,434
Kufuru ya madaraka na pesa.

Waziri wa ulinzi wa Cameron alificha pesa nyingi sana nyumbani kwake, wakati polisi wanakwenda kukagua mke wake akajaribu kuzichoma lkn hakufanikiwa.

Tatizo lipo hapo kuwa kuna watu wanapupia madaraka ili wafuje jasho la walipa kodi, naona mara mia wapenda ng'ang'ania madaraka lakini sio wafuja pesa kuliko sampuli ya watu ambao hufukuzia madaraka kwa malengo wakafuje pesa za walipakodi

Viongozi kama Kagame na Museveni ni neema kwa namna fulani, but not likes of Mugabe
 
Staili iliyopo siku hizi huwa wananunua dhahabu au madini yoyote yenye thamani na kuyaweka ndani, hiyo staili ya kurundika mipesa ilishapitwa na wakati, kwasababu serikali ikiamua kubadilisha noti zake, wewe hizo zote utazipelekaje benki kubadilisha bila kushtukiwa!
 
Umeyasikia ya Musema alivyojilimbikizia mali? Nitakuwekea clip!
 
Staili iliyopo siku hizi huwa wananunua dhahabu au madini yoyote yenye thamani na kuyaweka ndani, hiyo staili ya kurundika mipesa ilishapitwa na wakati, kwasababu serikali ikiamua kubadilisha noti zake, wewe hizo zote utazipelekaje benki kubadilisha bila kushtukiwa!
Kweli mkuu ni afadhali kuzificha Uswizi kwenye mabenki kuliko chumbani huu ni ujima.
 
Wengine wana badilisha kwa foreign currency, real estate au kununua hisa za makampuni makubwa.
Huyo itakuwa ana akili kama za bashite,
Nowdays haihitaji elimu kubwa sana kujua jinsi ya kujilimbikizia utajiri mkubwa katika namna inayofaa na salama
 
Staili iliyopo siku hizi huwa wananunua dhahabu au madini yoyote yenye thamani na kuyaweka ndani, hiyo staili ya kurundika mipesa ilishapitwa na wakati, kwasababu serikali ikiamua kubadilisha noti zake, wewe hizo zote utazipelekaje benki kubadilisha bila kushtukiwa!
You don't know what you are talking.
 
Huyo itakuwa ana akili kama za bashite,
Nowdays haihitaji elimu kubwa sana kujua jinsi ya kujilimbikizia utajiri mkubwa katika namna inayofaa na salama
Huyo uliyemtaja yuko vizuri kwenye real estate
 
Wakuu naomba mnipatoe maelezo ya hio real estate
Maaana siielewi vizuri
 
Tatizo lipo hapo kuwa kuna watu wanapupia madaraka ili wafuje jasho la walipa kodi, naona mara mia wapenda ng'ang'ania madaraka lakini sio wafuja pesa kuliko sampuli ya watu ambao hufukuzia madaraka kwa malengo wakafuje pesa za walipakodi

Viongozi kama Kagame na Museveni ni neema kwa namna fulani, but not likes of Mugabe
Hakuna uwafadhali kwann wang'ang'anie madaraka inaana wanaweza kuwa wafujaji zaidi ya uyo alafu comment yako sielewi mlengo wako
 
Viongozi ambao ni janga ndio kama hao wanaotafuta madaraka ili wakafakamie pesa za umma , huo ndio mrengo wangu
 
Huyo ni waziri wa ulinzi, Je huyo wa shekeli anazo ngapi?? Je, huyo mkulu?? Waache wale jasho lao. Hata kuzipata hizo zote bila kupiga mtu roba nadhani alitumia akili nyingi sana.
 
Yan kipind choote alichokaa madarakani alikuwa hajui Jins ya kuficha hela isionekane Haya mambo n Africa tu
 
Back
Top Bottom