Bintiwangara
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 551
- 287
unahua maana ya dependency,wewe? Na kama hakuna kufuli ufunguo hauna maanaKufuli linaweza kuwa na maana mlangoni wakati funguo haipo, lakini funguo ikipatikana basi kufuli nikama halina kazi yoyote mlangoni.
Nguvu ya kufuli ipo kwenye funguo.
hii picha ina maana nyingi sana..acha ninyamaze maana ban yawezanifata
Ufunguo huchokonoa ndani ila kufuli halijitambui
Watu badala ya kujadili uwezo wa mtu kuongoza, wanajadili maana ya jina la mtu! Tz bado sana....!!
Kivip mkuu, fafanua
Ufunguo huchokonoa ndani ila kufuli halijitambui