Kufungwa Gele na Kufundishwa

eyetyna

Senior Member
Joined
Jun 24, 2011
Posts
148
Reaction score
17
Kwa ufungaji viremba (GELE) design tofauti tofauti vya kwenye sherehe, karibuni sana.

Pia tunafundisha kufunga Gele na kufanya make up.

Kufungwa Gele:25,000
Kufundishwa kufunga Gele kwa siku 2:200,000
Makeup simple kupakwa:30,000
Kufundishwa makeup kwa siku 5:200,000
Makeup kwa Maid's:50,000
Makeup kwa Bibi harusi:160,000

Popote ulipo utafuatwa kufungwa Gele na kufanyiwa makeup!

Karibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…