Kufungua Tovuti

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Messages
2,908
Likes
71
Points
145

Shadow

JF-Expert Member
Joined May 19, 2008
2,908 71 145
Wadau, naomba kutaka kujua namna ya kufungua website; nani ni webhost mzuri kuanzia gharama; disigning etc.
 
Mom

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Messages
708
Likes
3
Points
35

Mom

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2009
708 3 35
specialist mpo hapo? msaidieni mwanajamii anataka kuingiza business yake online!
 
Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Messages
2,908
Likes
71
Points
145

Shadow

JF-Expert Member
Joined May 19, 2008
2,908 71 145
Wadau, bado nimekwama kuhusu hili suala. Kwa kuongezea, je ni faida zipi kwa tovuti kuwa 'hosted' ndani ya nchi dhidi ya kuwa 'hosted' nje ya nchi tusema Marekani? Nasubiria msaada wenu wadau.
 
The Spit

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
418
Likes
49
Points
45

The Spit

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
418 49 45
Wadau, naomba kutaka kujua namna ya kufungua website; nani ni webhost mzuri kuanzia gharama; disigning etc.
Mkuu ungekuwa specific kuwa unataka kutengeneza website ya aina ghani,e-commmerce website(online shop) au website ya aina nyingine tu au ya aina ghani maana kuna tofauti kubwa sana kuchagua hosting na kadhalika kulingana na aina ya website.
...anyway for online shop i'd suggest you go with hostmonster(http://www.hostmonster.com),i like these guys,their support is the best you'd ever wish for in the market,you can chat with them 24/7 and they're very patient with customers,their hosting cost is 4.5us$ per month,...otherwise if you get more specific like i said above then i could get you more info as long as i could get.
 
Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Messages
2,908
Likes
71
Points
145

Shadow

JF-Expert Member
Joined May 19, 2008
2,908 71 145
Mkuu ungekuwa specific kuwa unataka kutengeneza website ya aina ghani,e-commmerce website(online shop) au website ya aina nyingine tu au ya aina ghani maana kuna tofauti kubwa sana kuchagua hosting na kadhalika kulingana na aina ya website.
...anyway for online shop i'd suggest you go with hostmonster(http://www.hostmonster.com),i like these guys,their support is the best you'd ever wish for in the market,you can chat with them 24/7 and they're very patient with customers,their hosting cost is 4.5us$ per month,...otherwise if you get more specific like i said above then i could get you more info as long as i could get.
Nataka kufungua tovuti kwa ajili ya kampuni.
 
Doltyne

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Messages
443
Likes
9
Points
35

Doltyne

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2011
443 9 35
Nipigie 0714881500 nikupe muongozo, na tukielewana nikufanyie hiyo kazi. Maelezo ni mengi sana siwezi kutype hapa kwakuwa natumia cm. Alternatively karibu ofisini kwetu haidery plaza gorofa ya kwanza left wing ( ulizia web technologies) ni ofisi ya kona kabisaa.
 
Forum statistics

Threads 1,204,152
Members 457,147
Posts 28,143,294