kufungua shule ya sekondari.


C

Chief.com

New Member
Joined
Oct 2, 2011
Messages
3
Likes
0
Points
0
Age
31
C

Chief.com

New Member
Joined Oct 2, 2011
3 0 0
wanajami forums, mm nikijana nilie maliza mafunzo ya ualimu, ninatamani kuwa nashule yangu ila sina mtaji nifanyaje? Ilinifanikiwe.
 
M-pesa

M-pesa

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Messages
605
Likes
15
Points
0
M-pesa

M-pesa

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2011
605 15 0
Kuna jamaa mmoja namfahamu yeye alianza kwa kuwa na wazo kama wewe! Bahati nzuri yeye alikuwa alianza kwa kufanya home tution, alikuwa anawafuata wanafunzi majumbani kulingana na muda aliowapangia. Baada ya muda mzazi mmoja alijitolea darasa ambalo lilianza kutumika kwa kujumuisha watoto wengine wa majirani. Baada ya muda kupitia network ya wazazi wa watoto aliokuwa akifundisha akabahatika kukodishwa eneo ambalo Tution Centre ilikuja kuzaa shule ya secondary ( Sitapenda kuitaja hiyo seconday kwa sababu watu humu wataanza kashfa huku waki associate na shule za kata). But secondary yake inafanya vizuri na ni ya bweni.

wanajami forums, mm nikijana nilie maliza mafunzo ya ualimu, ninatamani kuwa nashule yangu ila sina mtaji nifanyaje? Ilinifanikiwe.
 
Dumelang

Dumelang

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
2,457
Likes
2,162
Points
280
Dumelang

Dumelang

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2011
2,457 2,162 280
Nafikiri kwa hakika mawazo ya mwana hapo chini ndiyo wengi walioanzisha shule bila mtaji walivyofanya mimi nawafahamu watu zaidi ya wawili walionza na tution sasa ni shule, inategemea tu una malengo gani tena mwingine ninaye mfahamu si mwalimu by profession ila amesoma tu language (english) pale Udsm.

amini unaweza kama nia but also wengine hutafuta wadhamini ambao upenda kuwekeza kwa Elimu kisha wewe wakusanye wataaluma wenzio mpange jinsi ya kuanza
 

Forum statistics

Threads 1,236,727
Members 475,218
Posts 29,267,442