kufungua page

kufungua page

Joined
Dec 8, 2013
Posts
94
Reaction score
10
Poleni na shughuli za kulijenga Taifa wanajamiiforum.Naomba kwa anayejua jinsi ya kufungua (kutengeneza) page katika mitandao ya kijamii atuelekeze. Pia nashindwa kuiweka picha hapa jf baada ya kuiaplod, nifanyeje ili ionekane? Shukrani wakuu.
 
Back
Top Bottom