Kufungua kituo cha afya binafsi( Private health center), sheria inassemaje?

Justine Marack

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
602
1,665
Naomba msaada wenu wajuvi wa mambo ya sheria au yeyote anaye jua. Elimu yangu ni Diploma (Clinical officer) nahitaji kufungua kitua changu binafsi kwa ajili ya kutoa huduma ya afya. Napenda kujua kama sheria inaruhusu kuwa na kituo kama hicho kwa mtu wa level ya elimu kama yangu?Pia kujua taratibu na mamlaka ya usajili. NatanguliZa shukueani nyangi.
 
Back
Top Bottom