Kufungua gmail kwenye huawei y300

Kufungua gmail kwenye huawei y300

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
678
Reaction score
196
Wataalamu kuna rafiki yangu anasimu tajwa hapo juu sasa kila akijaribu kufungua gmail unakuja ujumbe searching for wifi networks wakati huo wifi iko on kwahiyo anashindwa jinsi ya kufungua account mpya ya gmail
 
Zima wi fi. Switch mobile data za kawaida za mtandao husika.
 
Back
Top Bottom