Wanajamii
nimenunua vitu vya dry cleaners
nimenunua mashine ya kufulia 12kg
mashine ya kukaushia 12kg
masine ya kufungia nguo
mashine ya kusafisha carpet
generator 3 phase
hanger ya kuwekea nguo
trolley za nguo
pass na madawa
nini hahitaji kingine
mawazo ya wana jamii