Wakuu naomba kuelekezwa wapi naweza kufungua ya akiba benki ya dunia?
Halafu unaweza kukuta jamaa yuko serious kweli.
Wakuu naomba kuelekezwa wapi naweza kufungua ya akiba benki ya dunia?
Kinachofurahisha ni kuwa unaweza kukuta
kuna mijadala mingine unabishana na watu aina hii sana bila kujua
Kamuulize Dr. Magufuli kwanza ili akutumbue jipu. Hiyo Benki ya Dunia sio benki ya kufungua akaunti kama unavyofanya kwenye vijibenki vya hapa bongo.
Jibu: The World Bank is not a bank for individuals to open accounts. It is an international financial institution which provides leveraged loans to developing countries for capital programs. (Ask Experts & Get Answers to Your Questions - ASAP)