Kufungua akaunti benki ya dunia

Kufungua akaunti benki ya dunia

Wakuu naomba kuelekezwa wapi naweza kufungua ya akiba benki ya dunia?

Naomba kufahamu elimu yako tafadhali? Maana haya maswala ya Breton woods institutions na function zake niliyafahamu nilipokua olevel
 
Benk zetu za kichimba chumvi wakikosea figure tuu 50,000 wakaweka 5000 unaenda na panga kwa meneja ndio utake kufungua account za nje..

I never miss comics from JF me loving it
 
kwa hiyo barua ya serikali ya mtaa itahitajika pia
 
uswiswi IPO bara gani?

labda ile uswiswi mbarali huko..wataalamu wa kiswahili wangeacha majina ya nchi zibaki kama zilivo kujua jina la Nchi nalo Mpaka usome maana kupata tafsiri tena ya Egypt,Mozambique au Greece na nyinginezo nyiingi tuu..
 
Back
Top Bottom