Mbona point namba 1 na point namba 2 zinapingana sana?WATUMIAJI wa simu wapatao milioni nane wapo
hatarini kufungiwa simu .Tanzania Daima limebaini.
Watanzania wazalendo hulipa kodi TRA wanapoingiza bidhaa nchini. Simu pia zikiwa imported hulipiwa ushuru.
Sijui TCRA wanakuwa wapi kuruhusu importation ya bidhaa feki & mwisho wa siku wanadai kuzifungia.
Itambulike kuwa Watanzania wengi hawawezi kugundua ikiwa simu in feki au la kwa kuiangalia kwa macho. Inampasa mtu kutuma IMEI TCRA ili kugundua software content ya simu husika, kwa sababu simu feki zina appearance na majina original.
Hivyo; kwa Mtanzania wa kawaida analazimika kununua simu KWANZA, kuweka lain na kuverify TCRA.
Hapa TCRA inamlindaje mteja? Inamlindaje mfanyabiashara?
Ikiwa kadirio la chini la gharama ya kila simu in 100,000 ; kwa simu 8,000,000 = 800,000,000,000#. This is misusage of resources!
MAPENDEKEZO:-
1. TCRA itengeneze sheria haraka kuruhusu KILA MWENYE SIMU FEKI airudishe kwa aliyemuuzia & abadilishiwe Bure (akiwa na receipt)
2.TCRA isubiri mizigo yote iliyomo nchini iishe, ili kuwanusuru wafanyabiashara waliokwisha kulipa kodi serikalini na bado wana mzigo.
3. TCRA iweke mkakati wa kuzuia importation ya simu feki. Iwakague wafanyabiashara wakubwa walaghai badala ya kuwafungia simu wananchi wanyonge wasio na uelewa
Itakua ngumu maana watu 80% hawajui simu feki. Kikubwa ni ku deal na wafanya biashara. Kama ilivyo kwa wauza madawa ya kulevyaSuluhisho la kuondoa simu feki ni kumfungia tu mtumiaji ili wafanyabiashara waache kuleta nidhaa feki. Itaathiri watu wengi sana lakini mi naona ndio suluhisho.
Wafanyabiashara wana mbinu nyingi za kuingiza bidhaa feki kama ambavyo wauza madawa walivyo. Madawa yanapigwa vita kila siku lakini bado yapo na yataendelea kuwepo milele.Itakua ngumu maana watu 80% hawajui simu feki. Kikubwa ni ku deal na wafanya biashara. Kama ilivyo kwa wauza madawa ya kulevya
Kufunga simu feki sio maendeleo. Maendeleo ni kuwa na viwanda vya kuzalisha simu. Ni kuwaongezea mzigo wananchi wasioelewa chochote. Kwanini walisubili mpaka watu wazinunue. Si wangefunga kabla hazijanunuliwaWafanyabiashara wana mbinu nyingi za kuingiza bidhaa feki kama ambavyo wauza madawa walivyo. Madawa yanapigwa vita kila siku lakini bado yapo na yataendelea kuwepo milele.
Ili kuipunguzia serikali headache solution ni kuweka mitambo ya kuzuia simu feki zisifanye kazi na si kukimbizana na wafanyabiashara wenye mbinu nyingi.
Labda iombwe muda uongezwe mpaka mwezi wa 12. Bila maamuzi magumu kama hayo maendeleo kwenye nchi hii tutayasikia tu kwa wenzetu.
Maendeleo yapo ya aina nyingi. Kufungia simu feki ndio tunaelekea kwenye maendeleo kwasababu tutakuwa tunanunua simu bila kuwa na wasiwasi kama ni feki au la. Ni jukumu la wananchi (wewe ukiwemo) na serikali kuanzisha hivi viwanda. Hakuna mtu anayependa kununua bidhaa feki..zifungiwe tu kwa kweli hata kama nitakuwa mmoja wa wahanga.Kufunga simu feki sio maendeleo. Maendeleo ni kuwa na viwanda vya kuzalisha simu. Ni kuwaongezea mzigo wananchi wasioelewa chochote. Kwanini walisubili mpaka watu wazinunue. Si wangefunga kabla hazijanunuliwa
sababu hasa ya kuzifungia hizo simu ni nini? Au wamefungua maduka ya simu original ili wapige hela? Kama ni athari, mbona sigara zina athari zaidi ya hizo simu lakini zina kibali.? Kwakua mpini wanao wao, acha wazime tuMaendeleo yapo ya aina nyingi. Kufungia simu feki ndio tunaelekea kwenye maendeleo kwasababu tutakuwa tunanunua simu bila kuwa na wasiwasi kama ni feki au la. Ni jukumu la wananchi (wewe ukiwemo) na serikali kuanzisha hivi viwanda. Hakuna mtu anayependa kununua bidhaa feki..zifungiwe tu kwa kweli hata kama nitakuwa mmoja wa wahanga.
Kwanini uuze simu feki? Kama wamefungua maduka ya simu original ndio hasa tanzania tu ataka. Ili mradi kodi ilipwe. Kwanini ununue simu feki ukae nayo muda mfupi wkt unaweza nunua original ukakaa nayo muda mrefu? Madhara ya simu feki yapo mengi.sababu hasa ya kuzifungia hizo simu ni nini? Au wamefungua maduka ya simu original ili wapige hela? Kama ni athari, mbona sigara zina athari zaidi ya hizo simu lakini zina kibali.? Kwakua mpini wanao wao, acha wazime tu
Kuzimwa lazima zizimwe. Ila wataumia watanzania wengi. Na bei za original zilivyo juu ndo itafahamikaKwanini uuze simu feki? Kama wamefungua maduka ya simu original ndio hasa tanzania tu ataka. Ili mradi kodi ilipwe. Kwanini ununue simu feki ukae nayo muda mfupi wkt unaweza nunua original ukakaa nayo muda mrefu? Madhara ya simu feki yapo mengi.
Sigara na yenyewe ni jipu. Haimaanishi kwasababu imeruhusiwa basi na vingine feki viruhusiwe. Tunaenda pole pole kuondoa bidhaa feki nchini.
Issue ya sigara tuwaeleze wizara ya afya. Tcra na wizara ya mawasiliano wameamua yanayowahusu.
Hilo nalo neno mkuu..Ila mbna izi simu znauzwa madukanibkweupeee tofautibna madawa yanayouzwa kwa kificho.kwa nini tcra wasishirikiane na police kufanya ukaguzi kwenye maduka ya siku feki wazikamate ili wananchi wasiendelee kuumizwa.maana bado zipo madukani nyingi sana na znauzwa adi leo
Ila mbna izi simu znauzwa madukanibkweupeee tofautibna madawa yanayouzwa kwa kificho.kwa nini tcra wasishirikiane na police kufanya ukaguzi kwenye maduka ya siku feki wazikamate ili wananchi wasiendelee kuumizwa.maana bado zipo madukani nyingi sana na znauzwa adi leo