TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 4,980
- 15,325
Kumeibuka wimbi la vijana wanaooa hasa hawa wanaoishi mijini, kupitisha michango ya harusi bila kusema harusi itafanyikia wapi?
Mtu unaletewa kadi ya mchango, au kundi linaanzishwa whatsap unajikuta umeongezwa mnahamasishwa sana kuchanga kwasababu kutoa ni moyo sio utajiri. Ukiuliza bajeti unaambiwa milioni 20 ila kamwe hauambiwi harusi itafanyikia wapi..!
Mwishoooni kabisa mtu umeshajikamua umechanga laki yako, ndio unaletewa kadi ya mwaliko huku ikisema "harusi itafungwa siku ya jumamosi saa nne asubuhi huko Songea na baadae kufuatiwa na tafrija katika ukumbi wa Mpitimbi Secondari School! Kufika kwako ndio furaha yetu"
Jamani, huu si wizi? Kwanini msiseme mapema kwamba harusi itafanyikia wapi ili watu tuchange accordingly? Acheni hizo bana..!