Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,442
- 12,712
Binafsi hoja na maoni ya kufungia jukwaa pendwa la JF kwangu si sawa, uhuru wa kujieleza umekandamizwa!, kimsingi hoja zinazo tolewa JF ziwe na mantiki au hazina, kisiasa au kijamii, ni hoja zinazo hitajika kuwa wazi katika jamii tunayoishi kila siku, suala la kuamini hoja au kutokuamini kama ni ya kweli au hapana ni jambo la kadamnasi yenyewe.
Binafsi sifikilii kama naweza kumshawishi mtu kuamini kile ninacho kiamini mimi, ila ninauwezo wa kumfikishia ujumbe na fikira za kichwa changu na si vinginevyo, sheria ijitafakari inatokosesha uhuru wa kutumia vyombo vya habari nchini.
Hayo ni maoni yangu binafsi.