Kufunga flash kwa password

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
hali zenu wakuu, hivi inawezekana kufunga flash/usb kwa password. kama inawezekana unaifungaje?
natanguliza shukrani
 
sjawahi skia kuhusu kulock flash an why ufanye hivo? maana ukilock mtu anaformat tu

nnavojua kuna ku encrypt flash ili kuprotect data.

mfano una nyaraka zako za siri kwenye flash then unataka hio flash isisome pc nyemgine zaidi ya kwako basi una encrypt

kujua zaidi kuhusu ku encrypt flash nenda google au link hii

Encrypt Your Thumb Drive - Wired How-To Wiki
 
Ndio inawezekana kulock usb flash kwa password hata mimi naitumia hiyo program inaitwa usbenter just google utaipata kuna free version ambayo unalock usb flash kwanzia 1GB-4GB tu ukitaka zaidi inakubidi u'buy full version hata mtu aki format hato weza ku'access data zilizoko kwenye flash
 
Sio kila Flash ina uwezo huo wa kuweka password!! Flash zenye uwezo huo zinakujaga na software yake kabisa ambayo inakurahisishia kuweka Password!!
 

So ukieka password mtu hawezi kuformat?
 
Sio kila Flash ina uwezo huo wa kuweka password!! Flash zenye uwezo huo zinakujaga na software yake kabisa ambayo inakurahisishia kuweka Password!!
blaza inalock bila tatizo ili mradi ukidhi vigezo na masharti mimi nimelock flash ya jet transcend 4GB
 
asanteni wapendwa kwa comment zenu, nitazifanyia kazi.
pia nitawezaje kulock folder kwa password pia???
 
charminglady wife vipi tena kuficha vitu kwenye flash zangu? kuhusu kupassword protect folder, tumia bitlocker kama una window7 ultimate
 
Last edited by a moderator:
4 any function you want to perform,it requires password..u cant even format without password.
 
Wakuu nimeinstal hiyo usbenter sasa nataka kuunstall natumia wnd 7.Nimeshindwa flash ya 4gb naona inanionyeshea 573kb ukubwa wa flash wakati yangu ni 4gb msaada
 
Wakuu nimeinstal hiyo usbenter sasa nataka kuunstall natumia wnd 7.Nimeshindwa flash ya 4gb naona inanionyeshea 573kb ukubwa wa flash wakati yangu ni 4gb msaada

exactly ndo inavyo takiwa sasa open hyo flash yako afu utaona ma'file mawili sasa open UsbEnter utaingiza passwrd ambazo uliset wkt unainstall hiyo prgrm then itafunguka kama kawaida na real capacity ambayo ni 3.76GB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…