Kufukuzwa chuo

Kufukuzwa chuo

Joined
Oct 27, 2019
Posts
20
Reaction score
12
Habari wana jf,

Naomba tusaidiane mawazo kuna mwanafunzi wa chuo kikuu hapa nchini akifanya stashada katika masomo ya uhandisi wa umeme na elektronik mwaka wa tatu, awamu ya tano yaan amebakisha awamu moja amalize

Lakini amefukuzwa chuo juzi baada ya kumaliza awamu ya tano mwezi wa novemba, alipigiwa simu na mkuu wa idara yake kwamba anahitajik chuon maan alikw tayar amepewa kibali cha kufany field na sababu ikiwa aliingia kwnye hati hati ya kugomban na walinzi wa geti hapo chuon akiwa mwaka wa pili awamu ya nne 2019 baada ya walinzi kumtak aoneshe kitambulisho na akivae shingon, yeye alitoa kitambulisho kikiwa mfukon na kuwaonyesh hvyo walimlazimu akivae japa hakikuwa katika cover na ribbon km inavyotakiw katik hali ya kueleweshan yakatokea mabishano na kupelekea kesi kwa dean of student ambapo pia mwanafunz alizuiliwa kufnya mtihani asubuhi hyo

Mhusika (dean of student) alisikiliz ishu kumpa barua kijana ikimtak kikao na kamati ya nidhama (disciplinary committee panel) wakajadili mstakabal mzma na kumpa nafas aandike barua ya msamaha (apology letter) ilikuw ni may 2019

Baadae mwezi wa saba baad ya likizo mwanafunz alirudi chuon aliruhusiw kujisajili kuendelea awamu ya tano ambapo ameimaliza mwezi huu wa november 2019 na yametokea haya baada ya miezi sita 6

Hivyo kulingana na haya maelezo kisheria nani ana makosa na suluhu ikoje?
 
Hivi hakuna mtu anayejua sheria akaja kutoa mwanga hapa. Kuna chuo Jumatatu wiki hii mlinzi mwnye silaha ya moto kamshika roba mwanachuo. Kisa hajavaa bwanga
 
Huyo mwanafunzi alienda kusoma!!! au kuvuta bangi? yaani kasoma vi cathode sijui farady law anaanza kujiona kafika na kuanza kuzarau watu wanaomlinda? angefanya kazi wapi mtu mwenye nidhamu ya hovyo namna hiyo? kwa kitendo alichokifanya yawezekana anatumia aina mbalimbali za vileo sasa mlevi aje afanye kazi za umeme ? si ataunganisha waya wa V+ na V+ ? hafai
 
Kuna sehemu umeambiwa kavuta bangi? Au wavuta bangi wote hawavai vitambulisho. Sheria inataka aoneshe kitambulisho,sio akivae. Na hata kama itamlazimisha avae (ambalo nalo ni wazo la kipuuzi kulazimisha kuvaa) bado umeambiwa kilichakaa na hakiwezi valiwa. Nyinyi ni jamii ya watu wenye wivu juu ya wenzenu waliofanikiwa, ukikuta walinzi wanaringa hao afu fatilia malipo yao
 
Kweli kabisa mkuu
 
Heshimuni mamlaka !!!! basi kama ni kazi yake ya ulinzi mnamdharau basi heshimuni hata umri.....sasa kashatumbuliwa chuoni awapelekee huo ujuaji wazazi wake nyumbani akawaulize kuvaa kitambulisho...kwa tarifa yako hata akienda mahakamani kuomba orders za mandamus ama certiorary kamwe hawezi kurudishwa shuleni hata akirejeshwa kwa nguvu ya mahakama hatamaliza .
 
Dean of students, ye ana act kama mzazi wa mwanafunzi hana uhusiano wa moja kwa moja na uongozi au wahadhiri wa chuo, kwa maana yupo kutetea maslahi ya mwanafunzi, ndio maana sometimes wanaitwa mama au baba. Kulingana na maelezo hapo, huyo student anatakiwa akae vizuri na dean no way out.

Nakumbuka pindi fulani pale Mzumbe University nilizinguaga sana, sikutakiwa kuingia kwenye pepa (UE). Nkaenda kwa dean niliongea nae karibia masaa mawili hivi. Akanielewa akanizungusha maofisini kupata kibali cha kufanya pepa kwa wakuu kuanzia watu wa finance mpaka administration ndani mule. Yani ilikuwa kama ufunguo wangu. Unakuta ofisi imefungwa (muda wa kazi umeisha - walikuwa wanasema muda wa kazi umeisha) ila sura yake tu ofisi inafunguliwa.

Dean of students, wanaheshimika sana. Cha msingi ni kuongea nae vizuri aelewe somo, ikiwezekana unakuwa na mtu wa kuku backup nyuma. Check university by-laws kuhusiana na tukio kama lako linasemaje au linaloelekea mnaweza pata mbinu pale.

Asantee.
 
Acha ujuaji wewe. Kitambulisho kimechakaa ambapo vyuo vyetu hivi wanachelewa kuvirenew sasa ulitaka akivae kivipi. Kwanza sitaki kuamini kama sheria inawaambia wasipovaa vitambulisho wanafukuzwa. Unakuta lecturer anadai "class hii mko 150, angalau nikifelisha 20 sitalaumiwa lakini mkifaulu karibia wote nitaulizwa kulikoni?". Vyuo viache kupokea watu wengi kama havitaki sio kuleta upuuzi na visheria uchwara visivyo na maana. Kulazimisha kufukuza mtu na ushachukua hela yake ni wizi
 
Chuo cha waindi mkuu kibamba
Hiko chuo ni lazima kuvaa kitambulisho kila wakati ndani ya eneo la chuo, hata ukipewa kitambulisho wanakutobolea juu na mashine ili upitishe kamba ya kitambulisho.

Kina sheria mno hiko tofauti na vyuo vingine, kama mavazi aisee ukivaa round colar T-shirt unarudishwa getini. Ukichelewa kuingia getini ni msala, kama vile shulenu tu.
Jamaa ukitaka uendane nao, basi tii sheria zao usijitie mjuaji hawachelewi kukufukuza.

Wahindi vyuo vyao wana tatizo la management tu, kuchukua maamuzi ya ajabu ni kawaida. Hawataki usela mavi wa sekondari uwaletee
 
Dean of students, ye ana act kama mzazi wa mwanafunzi hana uhusiano wa moja kwa moja na uongozi au wahadhiri wa chuo, kwa maana yupo kutetea maslahi ya mwanafunzi, ndio maana sometimes wanaitwa mama au baba. Kulingana na maelezo hapo, huyo student anatakiwa akae vizuri na dean no way out.

Nakumbuka pindi fulani pale Mzumbe University nilizinguaga sana, sikutakiwa kuingia kwenye pepa (UE). Nkaenda kwa dean niliongea nae karibia masaa mawili hivi. Akanielewa akanizungusha maofisini kupata kibali cha kufanya pepa kwa wakuu kuanzia watu wa finance mpaka administration ndani mule. Yani ilikuwa kama ufunguo wangu. Unakuta ofisi imefungwa (muda wa kazi umeisha - walikuwa wanasema muda wa kazi umeisha) ila sura yake tu ofisi inafunguliwa.

Dean of students, wanaheshimika sana. Cha msingi ni kuongea nae vizuri aelewe somo, ikiwezekana unakuwa na mtu wa kuku backup nyuma. Check university by-laws kuhusiana na tukio kama lako linasemaje au linaloelekea mnaweza pata mbinu pale.

Asantee.
Hiko ni Mzumbe mimi nimeshawahi kusoma hicho chuo cha wahindi, ni tofauti na huku kwingine. Wana management mbovu
 
Acha ujuaji wewe. Kitambulisho kimechakaa ambapo vyuo vyetu hivi wanachelewa kuvirenew sasa ulitaka akivae kivipi. Kwanza sitaki kuamini kama sheria inawaambia wasipovaa vitambulisho wanafukuzwa. Unakuta lecturer anadai "class hii mko 150, angalau nikifelisha 20 sitalaumiwa lakini mkifaulu karibia wote nitaulizwa kulikoni?". Vyuo viache kupokea watu wengi kama havitaki sio kuleta upuuzi na visheria uchwara visivyo na maana. Kulazimisha kufukuza mtu na ushachukua hela yake ni wizi
VYEKELEA MBALI AENDE MTAANI AMBAKO USIPOVAA KITAMBULISHO HAKUNA WA KUKUULIZA
 
Back
Top Bottom