Kufukuzwa chuo

Kufukuzwa chuo

VYEKELEA MBALI AENDE MTAANI AMBAKO USIPOVAA KITAMBULISHO HAKUNA WA KUKUULIZA
Mkuu ishu anachodai yy ni kwamba wangemfukuza baad ya tukio kutokea yaan akiwa mwaka wa pili semester 4, ss walimsajir kwa mwaka 3 na akosoma na kumaliza semester 5 wakampa barua aende field na ghafla wanampigia cmu akiwa field na kumpa barua ya kumfukuza chuo
Hapo sheria iko wapi?
 
Kuna sehemu umeambiwa kavuta bangi? Au wavuta bangi wote hawavai vitambulisho. Sheria inataka aoneshe kitambulisho,sio akivae. Na hata kama itamlazimisha avae (ambalo nalo ni wazo la kipuuzi kulazimisha kuvaa) bado umeambiwa kilichakaa na hakiwezi valiwa. Nyinyi ni jamii ya watu wenye wivu juu ya wenzenu waliofanikiwa, ukikuta walinzi wanaringa hao afu fatilia malipo yao
Wanafata utaratibu tatizo la ngozi nyeusi ni kutokufata sheria wanaleta mambo ya uswahili sehem yakazi.
 
Back
Top Bottom