M MWANAWIMA Senior Member Joined Nov 18, 2014 Posts 121 Reaction score 81 May 8, 2017 #1 Naomba ushauri juu ya ufugaji samaki kwa sisi tuishio mbali na vyanzo vya asili vya maji, maji yaliyopo ni ya visima na bomba tu. Twaweza fanya nini?
Naomba ushauri juu ya ufugaji samaki kwa sisi tuishio mbali na vyanzo vya asili vya maji, maji yaliyopo ni ya visima na bomba tu. Twaweza fanya nini?
babilas25 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 483 Reaction score 361 Jun 9, 2017 #2 Maji ya bomba yanaweza kutumika kwaajili ya kufugia Samaki jambo la msingi ni kitoyaingiza moja kwa moja kutoka bombani kwenda bwawani unatakiwa kuwa na tanks uyahifadhi maji ya bomba walau siku3 ili Chlorine ipungue kisha yaingize kweny bwawa lako
Maji ya bomba yanaweza kutumika kwaajili ya kufugia Samaki jambo la msingi ni kitoyaingiza moja kwa moja kutoka bombani kwenda bwawani unatakiwa kuwa na tanks uyahifadhi maji ya bomba walau siku3 ili Chlorine ipungue kisha yaingize kweny bwawa lako