Kufuga au duka

ILUVUG

Member
May 4, 2011
17
4
Habari wapendwa wote wa jamii forum...nawashukuru sana na michango yenu mbalimbali hasa katika kujikwamua na hii haili ngumu...

Mmi nina hela yangu kidogo kama mil 5 hivi na nina eneo la shamba huko kisarawe sas nilikuwa naomba ushauri kwa wazoefu je...nijiingize kwe kufuga au nianzishe duk ala nguo za watoto ambalo tutachanga na rafiki yangu na kuwa wawili.

natanguliza shukrani zangu.
 
Nenda kalime shamba
 
endelea kufanya upembuzi yakinifu,ikiwa pamoja na kujua talent yako ya kutafuta life,huwezi mshauri masai kufungua dukaa bwana!!!
 
asante kwa ushauri...je kuku huko porini management yake haiwezi kuwa ngumu kwan mm nakaa mbali n kisarawe then ninafanya kazi niko occupied 24/7 muda ninaoupata ni jmosi mchana na jpili tu.
 
weka kijana halafu uende kila jpili. weka mawasiliano ya karibu na huyo kijana at least mara mbili kwa siku kupata report
 
Kijana kwa ushauri wangu wa kitaalamu na mambo nw yalivyo,kwenye biashara nw fuga kuku wa nyama,ila wa mara ya kwanza usitegemee kupata faida bt kuanzia round ya pili faida kubwa sana,pia ntakuwa tayari kukushauri kwnye masuala hayo,na utaona kama ulichelewa kuanza hyo biashara.
 
Back
Top Bottom