kufuatia vurugurugu mjengoni

kufuatia vurugurugu mjengoni

Upuuuzi mtupu kaa wewe ni mbunge unashindwa kutii mamlaka itakuwaje ukipewa hayo mamlaka...chama hiki kimekuwa dhaifu sasa...very ill decisons on the ground.


Sio kila Amri ya kuitekeleza,Siwezi tekeleza amri ya kiuonevu.
 
hakika kilichotokea bungeni jana kama kungekuwa na kiongozi wa bunge mwenye upeo mdogo hata kama wa kijana anayejifunza madrasa au kijana mdogo anayetumikia kanisani, yaliyotokea hayangetokea. Kilichosababisha ni ufinyu wa kutambua.

Na hili litatugharimu.
 
Vijana ushabik utawapeleka kusiko,nn maana ya kiti,na nn maana ya kutii sheria,walitaka kura zihesabiwe zikahesabiwa na bdo wakazunguka zaid ya mara mbili saasa wataka nn tena hapo zaid ya sifa za kijinga?mkiambiwa make mnatoka,mkiambiwa mtoke hamtoki ndo nn?CDM masntch.
 
Back
Top Bottom