kufuatia vurugurugu mjengoni

kufuatia vurugurugu mjengoni

1gb

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
2,364
Reaction score
3,199
Jana Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia tiketi ya Chadema,
Mh.Joseph Mbilinyi. Wengi wanamjua kama Sugu.kajeruhiwa kufuatia vurugu zilizotokea Bungeni jana mchana baada ya nAibu Spika wa Bunge Mh.Jobu Ndugai, kuamuru maaskari wamtoe nje Kiongozi wa kambi ya upinzani mh.Freeman Mbowe,kufuatia kukaidi amri ya nAibu spika wakati alipo ambiwa akae chini,Akagoma kutii kauli hiyo.
Katika purukushani za kumtoa nje mh.Mbowe ndipo alipo jeruhiwa kiasi na damu zikamtoka.
Sasa je? kufuatia Vurugu hizo,kuna haja ya vikosi kama Red Brigade,Green Guard,Blue Guard,kuwepo nje ya Geti la Bunge ili kuwalinda Viongozi wao wa Vyama?
 
Upuuuzi mtupu kaa wewe ni mbunge unashindwa kutii mamlaka itakuwaje ukipewa hayo mamlaka...chama hiki kimekuwa dhaifu sasa...very ill decisons on the ground.
 
Spika ndo anaalibu bunge letu kwanini hataki kutoa mwongozo wakati kanuni zinaruhusu mbunge yeyote kuomba mwongozo, yeye alijua mh mbowe alichotaka kusema?
 
Huyu ndugai ni m...s.....e sana..kwanini fujo zinatokea akiwapo...------- zake..mwanaume anakua km.......hatumii busara kufikiria...for this ihate ccm....wanajiona wao ndo kila kitu....ht makinda mwanamke anamshinda
 
Upuuuzi mtupu kaa wewe ni mbunge unashindwa kutii mamlaka itakuwaje ukipewa hayo mamlaka...chama hiki kimekuwa dhaifu sasa...very ill decisons on the ground.
pole kwa kuongea usicho kijua.
 
tutaona na kusikia mengi kabla ya uchaguzi mkuu 2015
 
hata wewe pia unaonekana hujui unachoongea.

kutetea wapinzani wa nchi hii ni kama kujiunga na genge la wavuta bangi na wahuni kwani hawajuhi wanachofanya wala kufikiri, wanahitaji maombezi maalum
 
bila shaka hukuwa bungeni
kama hukuwa bungeni eithe umeskia au umeona kwenye vyombo vya habari
hizo damu umeziona peke yako??
Askari wamaambiwa wa mtoe mbowe
yeye anajifanya body guard
kufika njee kampiga mlinzi
ndo mbunge huyo?
Au mchezaji wa mieleka
 
we jamaa kamkoda! jaribu ktfkilia kabxa kwan kosa la "mh.mbowe" nn na askari anamua kumpga "mh.mbilinyi" ndo nn!
 
Kamkoda-acha kushabikia wezi wewe....kwani ni kosa kwa mbunge kuomba mwongozo???
 
Amandonga-kwa kauli yako tu inaonekana wewe magambaz
 
Upuuuzi mtupu kaa wewe ni mbunge unashindwa kutii mamlaka itakuwaje ukipewa hayo mamlaka...chama hiki kimekuwa dhaifu sasa...very ill decisons on the ground.

amri ya spika ni haina tofauti na kumwambia mbowe avue nguo. spika ndio mwenye makosa
 
Mbowe mbona hajapigwa sasa hiyo damu ametoka wapi?sugu ndio amekataa amri ya polis ndio akachukuliwa juu juu
 
jamani kumbukeni kutii sheria bila shuruti.
 
jamani kumbukeni kutii sheria bila shuruti.

Naikumbuka hadithi ya upepo na jua walipokua wakishindana kunvua mtu koti na hatimae jua akaibuka na ushindi mnono!

katika uwezo wa kawaida wa kufikiri kama mbowe angekubali kukaa kama ndugai alivyomuamuru halafu baadae kidogo baada ya upepo mbaya kupita akanyanyuka nakuomba muongozo ili atoe shida yake tena atoe na lile lakuambiwa akae chini bila sababu je yote hayo yangetokea? Wakati mwingine kutumia nguvu hakusaidii inabidi uwe na uwezo wa kusoma alama za nyakati! Binafsi siungi mkono fujo zisizo za lazima
 
huyu sugu mavii kuliko wooooteeeee cdm

Mavi yanakaa chooni. Lakini kama Sugu alikuwa bungeni unataka kuwaaminisha watu kuwa bunge ni sawa na choo? Check your comments before you post them dude!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
:A S kiss:Hata asiyezijua taratibu za bunge vizuri,atakubaliana na mimi kuwa Ndugai hafai kuwa kiongozi.
Leo kajeruhiwa Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia tiketi ya Chadema,
Mh.Mbilinyi. Wengi wanamjua kama Sugu.kufuatia vurugu zilizotokea Bungeni leo mchana baada ya nAibu Spika wa Bunge Mh.Jobu Ndugai, kuamuru maaskari wamtoe nje Kiongozi wa kambi ya upinzani mh.Freeman Mbowe,kufuatia kukaidi amri ya nAibu spika wakati alipo ambiwa akae chini,Akagoma kutii kauli hiyo.
Katika purukushani za kumtoa nje mh.Mbowe ndipo alipo jeruhiwa kiasi na damu zikamtoka.
Sasa je? kufuatia Vurugu hizo,kuna haja ya vikosi kama Red Brigade,Green Guard,Blue Guard,kuwepo nje ya Geti la Bunge ili kuwalinda Viongozi wao wa Vyama?
 
Back
Top Bottom