Kufuatia mvua zinazoendelea nimegunduwa tiles zinaingiza maji, nini tatizo?

Uliweka Damp proof membrane (DPM) kabla ya kumwaga jamvi?
 
Sidhani kama tatizo ni la fundi inawezekana shemu ulipo ni ya maji mengi (chem chem) hasa kipindi cha mvua nyingi
Uko sahii, kwenye uchochoro wa fire escape kuna asili ya chemchem kweli.

Sasa swali maji kupenya tiles kwa mara ya kwa wiki hii inaweza sababu kuu kuwa ni crack au nini?

Na kumaliza tatizo ni lazima uzifumuwe tiles zote uanze moja?
 
Bila picha ni umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…