Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 9,880
- 19,819
Wrong concept. Labda unamzungumzia mwajiriwa asiye na njozi; hali hiyohiyo inaweza kutokea pande zote kama mhusika anabahatisha & kushtukiza maisha, badala ya kuyapanga mapema.Mkuu Kujiajiri na kuajiriwa haiwezi kuwa dhana moja,kwasababu anayejiajiri lazima awe Committed kwenye field husika,lazima awe creative,Risk taker,etc wakati anayeajiriwa yeye anaenda tu kutumikishwa na mara nyingi skills zake zipo kwenye makaratasi zaidi kuliko kwenye vitendo.