Kufikia Kilele kwa mwanamke kuko hivi...!!

Kufikia Kilele kwa mwanamke kuko hivi...!!

Msimamia Ukucha

Senior Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
146
Reaction score
42
Mambo mengi yanayohusu mwanamke yameandikwa na wanaume.Jambo hili limesababisha kuwepo na taarifa nyingi za kutia mashaka kuhusu mwanamke.Dr Marie Robinson ni mwanamke aliyeolewa.Katika utafiti wake juu ya mwanamke kufika kilele ktk tendo la ndoa anasema hivi

kibala.jpg
Kufika kilele ni ule muda ambao kushikamana kwa msuli na akili huzuka ghafla mpaka kufikia ambapo haiwezekani kwa mwili kuvumilia.
Huku mwanaume akiendelea kusukuma kwa nguvu hali ya raha ya mwanamke huongezeka sambamba na msukumo wa kiuno cha mwanamke.
Mwanamke hujikaza kupita kiasi,mpaka pale ambapo huona haiwezekani kuendelea,,maana wakati huo tayari mwili mzima hutikiswa kwa mawimbi ya furaha.
Hapo mwanamke huonekana usoni,mikononi,miguuni,ktk kiwiliwili na ndani kabisa ya nyayo za miguu.
^^
Hayo yote humfanya mwanamke bila kujijua anafanya nini au anatamka nini,kichwa chake hurudishwa nyuma,na sehemu ya chini huinuka juu katika juhudi za yeye kutaka aingiwe zaidi na zaidi.Ikifika hatua hii wanawake hutofautiana,wengine hutumia dk 1,2 au 3 Na habari njema ambayo mwanamke angependa kuisikia ni kumwona mwanaume akiongeza juhudi na juhudi,ili amfikishe zaidi na zaidi ili anapohema kwa nguvu,kusukana kwa mapigo ya moyo na utoaji wa maji ktk tezi vibaki katika hali hii ambayo raha yake ni kufika kileleni kwa pamoja,hakuelezewi kwa maneno bali tabasamu angavu na shangwe za mwili kwa siku nzima inayofuata.
^^
Si wanawake wote hulia au kupiga makelele wengine hujitokeza bila hata wao kujua wanafanya nini,wengine huwa kimya kabisa,wengine hukunja sura zao,wengine huongea lugha wasizozijua,wengine huelemewa na raha kiasi hububujikwa machozi pasipo kutoa sauti,,Lakini dalili kama jasho jembamba,kuhema kwa nguvu,uke kujifinya ili ubane uume,matiti na chuchu kuvimba n.k
Ni dalili ambazo huonekana kwa wengi,wanapofikia juu kabisa ya kilele wakati wa tendo la ndoa.
^^
MWANAUME
Mjali mwenzako,hakikisha unamsaidia mwenzi wako kupanda mlima huu mrefu kuliko yote duniani.Kutoa mbegu tu na kugeukia upande wako ni ubinafsi! Fanya kazi kwa moyo,na maarifa
Uhusiano utadumu kupita milele.
 
Haya mambo yamejaa tele hapa jf
Naona ni copy & paste tu.
 
Haya mambo yamejaa tele hapa jf
Naona ni copy & paste tu.

Wanaume wengi hawalitambui hili.
Ingependeza hata kama kila siku kungekuwa na posts zaidi ya tatu.
Kumbuka kufanya mapenzi ni more ART than Science.................... so kuwa informed kila siku inasaidia kui prove.
Siyo science useme kuna formular ambayo ukisoma mara moja, unaikariri na ku apply!
 
Haya mambo ndio mnapenda sana kuambizana, mkichomoka hapa mna maoni kibao ya kutoa kwenye katiba mpya.....sijui huwa yanazaliwa wapi
 
Wengine wanatung'ata na kutufinya pindi wanapofika huko kileleni yaani wana mambo hawa viumbe.:A S kiss:
 
Haya mambo ndio mnapenda sana kuambizana, mkichomoka hapa mna maoni kibao ya kutoa kwenye katiba mpya.....sijui huwa yanazaliwa wapi

Hayo yatafute yana mahala pake au angalia ukurasa wa HOJA MCHANGANYIKO.. hapa ni ni MMU MAHUSIANO, MAPENZI NA USHAURI.... ucwe mgumu wa kuelewa..
 
Back
Top Bottom