Graca
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 471
- 152
- Thread starter
- #21
Kwa kuongezea gfsonwin wakati mnayafanya hayo yote, mhakikishe mnatushirikisha madereva wenu vizuri tujue namna ya kuwasaidia na kufika huko mnakotaka kwa sababu uzoefu unaonyesha juhudi zenu pekee hazitoshi, maana hata gari haliwezi kujiendesha lenyewe bila dereva!!! Maana dereva akiwa mdomoni kunatoka harufu ya komoni, na soksi hajafua wiki mbili, au ana haraka ya ku-do, na akianza anamaliza ndani ya dk moja utafikiri take-off ya ndege halafu unakaa kimya siamini kama unaweza kupanda hata kwenye kilele cha mwinuko achilia mbali kichuguu!
Na log-off; nafikiri nimeingia kwenye uzi huu bahati mbaya, LOL!
HorsePower usikimbie hii inatuhusu wote
Last edited by a moderator: